MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Huko Kivu kasikazini, vita kati ya jeshi la serikali na kundi la M23 vinaendelea.
Leo hii,tarehe 9 Machi 2025, limekabwa eneo la Nyabyondo. Eneo hili lipo karibu na jimbo la Walikale. Ikumbukwe kwamba, hapa WALIKALE, ndipo ulipoo mgodi wa ALPHA MINE, ambao ni mali ya serikali ya CANADA.
Canada siku za nyuma umeiwekea vikwazo nchi ya Rwanda, kwa kuhusishwa na kuunga mkono kundi hilo la M23.
Hivyo, Walikale pamoja na mgodi huo, vikiangukia mikononi mwa M23, basi tena, ndo kwa heri madini ya Congo ya kujiokotea. Na hili ni moja wapo wa maeneo M23 inayoyatafuta kwa udi na uvumba.