M23 mlangoni mwa Walikale

M23 mlangoni mwa Walikale

Maafisa vipenyo hao
Aaaah wapi hakuna cha maafisa hapo ,tulishawahi kutoa tahadhari humu mapema idara ya ujasusi na usalama wawe makini vijana wengi wanaenda Congo kujiunga na makundi ya waasi hata wiki mbilo haijaisha hao washadakwa na wapo wengi walienda wakapewa mafunzo na wakarudi
 
Kuna mtz alichinjwa na alshabaab, alikua mwenzao, dizaini wakamshtukia,niamini,japo siyo wote,ila hawakosekani humo, lazima muwe na insiders kwenye magenge mbalimbali ya uhalifu yanayowazunguka
 
Back
Top Bottom