M23 mlangoni mwa Walikale

M23 mlangoni mwa Walikale

Nimeona vyombo vya habari vya Western wameanza tena kuandika kuwa 🇺🇸 na 🇬🇧 walikurupuka kuiwekea vikwazo 🇷🇼. Sasa hii itssaidia nini naona kama vita ishafika mbali. Yaani wananchi ni kama wanatolewa kafara kwa tamaa ya viongozi ambao wana dhamana ya kuwalinda.
 
Organization bro. Nyabyondo Nyabiondo), ni mali ya M23 kwa sasa, hapo kifutacho ni maandalizi ya kuendelea. Kusini ndo kinawaka, eneo linalojulikana kama Minembwe. Huku ndipo wazarendo na FDLR kwa sasa wapo kuwaua watutsi, na kuchoma nyumba zao, huku FARDC ikiwamiminia mabomu kutumia ndege za kivita, na M23 ipo njiani kuelekea huko.
1741630222816.png

1741631115311.png

1741631178807.png

1741631285985.png
 
M23 wakitoka huko wanakuja kagera na kigoma. Kuna nchi itakuja kuwa kubwa huku wale wavunja matofari kila sukukuu za jeshi wakijaribu kutafuta mbinu za kuvunja vyuma sasa
 
Tatizo makongomani yanajua kukata viuno na kujichubua , muda mwingine natamani mr tall aichukue ile nchi maana ni ufala tuu 🤬🤬🤬
Mkuu kwa hapa unaweza kuwa unawaonea nadhani viongozi wao ndio wanaoifanya congo na wa congo kuonekana inavyoonekana kwa sasa. Fikiria nchi yenye utajiri tunaoambiwa inao na ina wabunge karibu 500 na wanalipwa karibu Tsh 80m@. Nchi na wananchi wa kawaida watabaki na nini zaidi ya miayo tuu.
 
Kuna madini gani huko
M23 wakitoka huko wanakuja kagera na kigoma. Kuna nchi itakuja kuwa kubwa huku wale wavunja matofari kila sukukuu za jeshi wakijaribu kutafuta mbinu za kuvunja vyuma sasa
?
 
Kwa rasilimali zinazopotea hapo Congo mshahara wa 80m sio issue, mbona haziwanufaishi..? No wonder trump alisema Africa iliwahi kupata uhuru maana hatujui kuutumia
 
watu wanapuuza hili , wanahisi ni madini tu wanataka , ila hii ni next step ili wanapiteka Burundi wawe salama , wanakumbuka Idd Amin aliondolewa kwa kuchelewa kuivamia Tz iliyowatunza Obote na watu wake , pia Viongoz wa Burundi lzm wakimbilie Tz siku wakipinduliwa
 
Kivu kusini,hayo ndo yanayoendelea kwa sasa.
Maiti za raia waliouwawa na makombola kutoka angani,wakiwa kanisani.
 
Attachments

  • 20250310_232425.jpg
    20250310_232425.jpg
    152.8 KB · Views: 1
  • 20250310_232431.jpg
    20250310_232431.jpg
    189.2 KB · Views: 1
Leo jeshi la congo limewakamata watanzania wawiili mmoja kutoka Zanzibar na mwingine Arusha wakishirikiana na ADF
PIA jeshi la congo leo limemdaka askari wa Rwanda akiwa ndani ya M23 kwenye mapigano hapo malikale
20250311_000504.jpg
 
Leo katika mkoa wa Walikale, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) askari mmoja wa Rwanda (RDF) aitwaye Dieu-Donné amekamatwa na Jeshi la Kongo (FARDC)

Askari huyo alijiunga na jeshi la rwanda mwaka 2014. Alikamatwa akiwa kwenye mji wa Bikenge Inasemekana alikuwemo na wenzake askari 31 wa RDF walioingia congo pamoja na yeye kutoka Rwanda na walipita kwenye mji wa Goma tarehe 22 Februari kwa njia ya mpaka mdogo na Katika hao askari 31 ambao wote ni from Rwanda tayari waliuwawa kwenye mapambano leo ispokuwa yete tu ndio kapona

Baada ya kukamatwa, alionyeshwa mbele ya vyombo vya habari na Jeshi la Kongo (FARDC)
20250311_001359.jpg
 
Leo katika mkoa wa Walikale, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) askari mmoja wa Rwanda (RDF) aitwaye Dieu-Donné amekamatwa na Jeshi la Kongo (FARDC)

Askari huyo alijiunga na jeshi la rwanda mwaka 2014. Alikamatwa akiwa kwenye mji wa Bikenge Inasemekana alikuwemo na wenzake askari 31 wa RDF walioingia congo pamoja na yeye kutoka Rwanda na walipita kwenye mji wa Goma tarehe 22 Februari kwa njia ya mpaka mdogo na Katika hao askari 31 ambao wote ni from Rwanda tayari waliuwawa kwenye mapambano leo ispokuwa yete tu ndio kapona

Baada ya kukamatwa, alionyeshwa mbele ya vyombo vya habari na Jeshi la Kongo (FARDC)View attachment 3266172
Mboka na ngai yuko wapi?
 
Usilishwe matango ukameza tu. Ikibidi fanya utafiti ndo ulete hapa. Huyu mnyamulenge
 
Kwa rasilimali zinazopotea hapo Congo mshahara wa 80m sio issue, mbona haziwanufaishi..? No wonder trump alisema Africa iliwahi kupata uhuru maana hatujui kuutumia
Mkuu salary ya m80 kwa mbunge sio issue kwa nchi ambayo unaambiwa inashikilia kombe kwa wananchi wake kukosa chakula duniani? Trump anaweza kuwa sahihi
 
Back
Top Bottom