Aaaah wapi hakuna cha maafisa hapo ,tulishawahi kutoa tahadhari humu mapema idara ya ujasusi na usalama wawe makini vijana wengi wanaenda Congo kujiunga na makundi ya waasi hata wiki mbilo haijaisha hao washadakwa na wapo wengi walienda wakapewa mafunzo na wakarudi