jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana.
Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia vyombo mbalimbali vya habari Duniani. Mpango wa DRC ni kuisukuma vita hii mpaka Kigali. Nauona mwisho wa Kagame.
😬😬😬