M23 wafanya shambulio jipya DRC mara baada ya kusema watasitisha mapigano nchini humo

M23 wafanya shambulio jipya DRC mara baada ya kusema watasitisha mapigano nchini humo

Kagame anapaswa kunyongwa kama Sadam Hussein wa Iraq. Anachokifanya kupitia M23 kinatuathiri hata sisi!! Kumbuka mizigo mingi inayopita bandarini Dar percent kubwa inaenda DRC; sasa kama utaisumbua DRC kwa vita nani ataagiza mizigo?? Huyu kagame anataka kuua uchumi ya Tanzania. Hapaswi kuishi!!!
Nikweli wammalize tu shenzi huyo
 
Back
Top Bottom