jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
we si una jiita gun man wa kikorea, ingia uka kiwashe🤣😂Ngoja tuone .
Bado sijaoa , nikiwa tayari nimeona nina na kuacha Legacy ya mtoto nitawashan kiGunman nikifa mtoto wangu atakuja Kukiwasha kulipa kisasi Cha kifo Cha Baba yake , hayo ndio mahesabu yangu kwa hiyo usinione nipo kizembe.we si una jiita gun man wa kikorea, ingia uka kiwashe🤣😂
wewe ni enuch tu 😂 🤣, cc SelikavuBado sijaoa , nikiwa tayari nimeona nina na kuacha Legacy ya mtoto nitawashan kiGunman nikifa mtoto wangu atakuja Kukiwasha kulipa kisasi Cha kifo Cha Baba yake , hayo ndio mahesabu yangu kwa hiyo usinione nipo kizembe.
Gun man 😁😁😁😁😁😁 ... Ushekh mandazi kamwachia nani...Bado sijaoa , nikiwa tayari nimeona nina na kuacha Legacy ya mtoto nitawashan kiGunman nikifa mtoto wangu atakuja Kukiwasha kulipa kisasi Cha kifo Cha Baba yake , hayo ndio mahesabu yangu kwa hiyo usinione nipo kizembe.
Oya Fanya yako nitakutungua , endelea kumfaidisha muhindi na makamari yako huku ukizidi kufilisika kimali na kiakili..Gun man 😁😁😁😁😁😁 ... Ushekh mandazi kamwachia nani...
Ulichokiandika na ulichoambatanisha havilingani.Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia vyombo mbalimbali vya habari Duniani. Mpango wa DRC ni kuisukuma vita hii mpaka Kigali. Nauona mwisho wa Kagame.
😬😬😬
Kamali = kamariOya Fanya yako nitakutungua , endelea kumfaidisha muhindi na makamari yako huku ukizidi kufilisika kimali na kiakili..
Dawa nikumtoa PK madarakani tu.Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia vyombo mbalimbali vya habari Duniani. Mpango wa DRC ni kuisukuma vita hii mpaka Kigali. Nauona mwisho wa Kagame.
😬😬😬
Kamari ipi ? semaKamali = kamari
Wewe mbona unacheza kamari au haujui kamari unayo chezaga?
Kwani ujui kuwa unachezaga kamari ya kisiasa ..Kamari ipi ? sema
... Msaada kutoka Uganda umewasili tayari!Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia vyombo mbalimbali vya habari Duniani. Mpango wa DRC ni kuisukuma vita hii mpaka Kigali. Nauona mwisho wa Kagame.
😬😬😬
Kagame anapaswa kunyongwa kama Sadam Hussein wa Iraq. Anachokifanya kupitia M23 kinatuathiri hata sisi!! Kumbuka mizigo mingi inayopita bandarini Dar percent kubwa inaenda DRC; sasa kama utaisumbua DRC kwa vita nani ataagiza mizigo?? Huyu kagame anataka kuua uchumi ya Tanzania. Hapaswi kuishi!!!Dawa nikumtoa PK madarakani tu.
Funguka kijana weka wazi , mpaka hapa sijaijua hiyo kamari.Kwani ujui kuwa unachezaga kamari ya kisiasa ..
Kuna mkeka wa usiku huu nux,ntakutumia 50 ya vocha.... hahaaahaaaaaa,mhindi anapiga sana pesa bettingOya Fanya yako nitakutungua , endelea kumfaidisha muhindi na makamari yako huku ukizidi kufilisika kimali na kiakili..
We nae ni mwembamba mreefu eeh!?..naona koment zako ni pro mbu!Ulichokiandika na ulichoambatanisha havilingani.
Uwezo wangu wa kufikiri na wako hauwez kufananaWe nae ni mwembamba mreefu eeh!?..naona koment zako ni pro mbu!