Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna waasi hapo, huo ni mkono wa Rwanda.M23 waonyesha kuwa na leadership kuliko Serikali ya Kinshasa. Wafungua mpaka wa Bunagana na kuruhusu wakimbizi kurudi. Kisekedi hapa kapigwa kitu kizito.
View attachment 2266451View attachment 2266452View attachment 2266453
Inabidi JWTZ iende tena ikatoe somo kidogo kama wakati ule.Na bado, wameshaizingira Rutchuru kwa sasa hata panya hatoki huko. Alafu M23 hawana rekodi ya kuua raia kama waasi wengine. VIVA M23
Unaweza kuwapiga M23 ila huwezi kuua ajenda yao, tatizo ni serikali ya kongo kukumbatia FDRL waliokimbia Rwanda baada ya kufanya genocide na kuihamishia kongo ni kuanza kuua wakongo wenye asili ya Rwanda, ndiomana serikali ya Tchisekedi inalaumu Rwanda kwakua wanajua Rwanda haiwezi kukubali kuona ndugu zao wanauliwa.Inabidi JWTZ iende tena ikatoe somo kidogo kama wakati ule.
Mpuuzi wewe, suala la FDRL linakuaje suala la Congo. Wewe ni mmoja wao bila shaka.Unaweza kuwapiga M23 ila huwezi kuua ajenda yao, tatizo ni serikali ya kongo kukumbatia FDRL waliokimbia Rwanda baada ya kufanya genocide na kuihamishia kongo ni kuanza kuua wakongo wenye asili ya Rwanda, ndiomana serikali ya Tchisekedi inalaumu Rwanda kwakua wanajua Rwanda haiwezi kukubali kuona ndugu zao wanauliwa.
Kama kuna ndugu zao Congo kwanini asiwapeleke Rwanda.Unaweza kuwapiga M23 ila huwezi kuua ajenda yao, tatizo ni serikali ya kongo kukumbatia FDRL waliokimbia Rwanda baada ya kufanya genocide na kuihamishia kongo ni kuanza kuua wakongo wenye asili ya Rwanda, ndiomana serikali ya Tchisekedi inalaumu Rwanda kwakua wanajua Rwanda haiwezi kukubali kuona ndugu zao wanauliwa.
M23 wamepata wapi ujasiri wa kuteka miji ya watu na kuendesha mambo kama Serikali iliyo uhamishoni - hii inaleta picha gani??Inabidi JWTZ iende tena ikatoe somo kidogo kama wakati ule.
Wanataka waonekane ni watu wema wakati wanaajenda zao za kish*nzi.
Hakuna kundi la waasi hapo, Kuna nchi jirani inacheza mchezo mchafu kwa mgongo wa Uasi.M23 wamepata wapi ujasiri wa kuteka miji ya watu na kuendesha mambo kama Serikali iliyo uhamishoni - hii inaleta picha gani??
Mtu anajitokeza bila aibu na kudai eti M23 inaendesha mambo vizuri kuliko Serikali ya Kinshasa!!! What a laughable comment??
M23 wamepata wapi ujasiri wa kuteka miji ya watu na kuendesha mambo kama Serikali iliyo uhamishoni - hii inaleta picha gani??
Mtu anajitokeza bila aibu na kudai eti M23 inaendesha mambo vizuri kuliko Serikali ya Kinshasa!!! What a laughable comment??