M23 wafungua mpaka na kuruhusu wakimbizi kurundi makwao

Kuna mikoa miwili inaenda kuwa ndan ya Rwanda n swala la muda tu
Aisee ni wewe tu usimuonyeshe mtu yeyote!😂😂
 
Attachments

  • IMG_20220615_152032.jpg
    IMG_20220615_152032.jpg
    106.5 KB · Views: 8
Aisee ni wewe tu usimuonyeshe mtu yeyote![emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji115][emoji115][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa
Hiii usishangae ikawa [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ume
na nyiny mnasubur nn kuwafuata wamakua na wa makonde wa Msumbiji ? si undugu kuchukuana tu
Umeshasikia tukiwalalamikia au kuwapigania kama hao Rwanda? Mbona wajibu bila kufikiri vizuri ndugu?
 
Unaweza kuwapiga M23 ila huwezi kuua ajenda yao, tatizo ni serikali ya kongo kukumbatia FDRL waliokimbia Rwanda baada ya kufanya genocide na kuihamishia kongo ni kuanza kuua wakongo wenye asili ya Rwanda, ndiomana serikali ya Tchisekedi inalaumu Rwanda kwakua wanajua Rwanda haiwezi kukubali kuona ndugu zao wanauliwa.
Nakuona mfuasi mtiifu wa PAKA
 
M23 wamepata wapi ujasiri wa kuteka miji ya watu na kuendesha mambo kama Serikali iliyo uhamishoni - hii inaleta picha gani??

Mtu anajitokeza bila aibu na kudai eti M23 inaendesha mambo vizuri kuliko Serikali ya Kinshasa!!! What a laughable comment??
Hapa tu ndiyo huwa namkubali JK, alininyooshea vizuri sana hawa wahuni.Ninaamini Samia na yeye itabidi awatume vijana wakafanye kazi yao tena ili adabu irudi.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji115][emoji115][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa
Hiii usishangae ikawa [emoji1][emoji1][emoji1]
Mtakuwa mnaota nyie.Nadhani PAKA anawajua vizuri kina Mwakibolwa
 
Hapa tu ndiyo huwa namkubali JK, alininyooshea vizuri sana hawa wahuni.Ninaamini Samia na yeye itabidi awatume vijana wakafanye kazi yao tena ili adabu irudi.
Dalili za hivi sasa huko kaskazini mashariki mwa Congo DRC sio nzuri hata kidogo-wanao jifanya ni waasi wanapata wapi ujasiri wa kukalia mji/wilaya na kuendesha mambo kama Serikali iliyo uhamishoni na kibaya zaidi wanajitangaza kwamba wao wanaongoza utawala kwa ufanisi zaidi kwenye mji waliouteka kuliko Serikali ya Kinshasa - just imagine!!! Wanayasema haya kwenye nchi ya watu yenye Serikali na Rais aliye chaguliwa na raia kwa njia ya kidemokrasia na sio kwa mtutu wa bunduki.

Narudia kuwambia kwamba dalili zinaonyesha kuna kitu kinasukwa pale, si bure - wala tusishangae ikija kubainika kwamba kuna baadhi ya mataifa ya magharibi yako nyuma yao wakishirikia na baadhi ya viongozi wa Africa!!

Fugisu zote zinazo endelea kaskazini mashariki mwa Taifa la Congo, lengo lake kuu ni kutaka kujenga hoja ya kuigawa CongoDRC kwa madai kwamba Congo is too big a Country/Nation hivyo kuna umuhimu wa kuigawanya na kuwapatia uhuru kabila linalo onekana/dai linanyanyaswa na Serikali ya Kishasa - ulaghai mtupu of course madai hayo yataungwa mkono kwenye Umoja wa Mataifa (UN) na Waziri Mkuu wa Uingereza BoJo pamoja na Rais J. Biden USA pamoja na baadhi ya nchi za Ulaya specifically NATO members.

Mimi sio mtume wala nabii, lakini naona this is what is coming-kitakacho nusuru Congo kugawanywa ni viongozi wa Afrika kuwa na msimamo mmoja wa kupinga kwa nguvu zao zote kuhusu hila za kuigawanya CongoDRC au Rais wa CongoDRC awaombe Urusi na China kupiga kura ya veto kupinga hila za Mataifa ya magharibi zinazo shirikiana na baadhi ya Viongozi wa Afrka wakiwa na lengo la kuigawa Congo, wahujumu hawa hawataki kuweka wazi kwamba kinacho tafutwa pale ni maliasili za Congo basi na sio uhuru wala nini sijui.
 
All hail king Booker
 
Back
Top Bottom