M23 wafungua mpaka na kuruhusu wakimbizi kurundi makwao

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
M23 waonyesha kuwa na leadership kuliko Serikali ya Kinshasa. Wafungua mpaka wa Bunagana na kuruhusu wakimbizi kurudi. Kisekedi hapa kapigwa kitu kizito.

Your browser is not able to display this video.
 
Inabidi JWTZ iende tena ikatoe somo kidogo kama wakati ule.
Unaweza kuwapiga M23 ila huwezi kuua ajenda yao, tatizo ni serikali ya kongo kukumbatia FDRL waliokimbia Rwanda baada ya kufanya genocide na kuihamishia kongo ni kuanza kuua wakongo wenye asili ya Rwanda, ndiomana serikali ya Tchisekedi inalaumu Rwanda kwakua wanajua Rwanda haiwezi kukubali kuona ndugu zao wanauliwa.
 
Mpuuzi wewe, suala la FDRL linakuaje suala la Congo. Wewe ni mmoja wao bila shaka.
 
Kama kuna ndugu zao Congo kwanini asiwapeleke Rwanda.
 
Inabidi JWTZ iende tena ikatoe somo kidogo kama wakati ule.
M23 wamepata wapi ujasiri wa kuteka miji ya watu na kuendesha mambo kama Serikali iliyo uhamishoni - hii inaleta picha gani??

Mtu anajitokeza bila aibu na kudai eti M23 inaendesha mambo vizuri kuliko Serikali ya Kinshasa!!! What a laughable comment??
 
Hakuna kundi la waasi hapo, Kuna nchi jirani inacheza mchezo mchafu kwa mgongo wa Uasi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] so funny, hakika Congo inajua ndombolo ya solo tu.
 
 

Attachments

  • twitter_20220614_161729.mp4
    1.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…