M23 wafungua mpaka na kuruhusu wakimbizi kurundi makwao

Ume

Umeshasikia tukiwalalamikia au kuwapigania kama hao Rwanda? Mbona wajibu bila kufikiri vizuri ndugu?
msumbiji wanalalamika nyinyi ndo mnafadhir ugaidi unaoendelea kule kwao , serikali yenu inawaficha baadhi ya taatifa zisiwafikie ndio maana mwaka 2020 polisi wa msumbiji walikuwa wanakamata hovyo hovyo watz na kuwanyanyapaaa
 
tuache kutunga vitu bila ushahid , kila kitu ni magharibi , hv mna utakatifu gan msigombane mpk west wachochee
 
M23 kwa sasa wanakamata miji na vijiji na kuwaswaga wanabeahi wa DRC kama Putin anavyofanya huko Ukraine. Hadi mwisho wa mwezi huu sijui kama watakua hawajatia timu Goma[emoji3]
 
tuache kutunga vitu bila ushahid , kila kitu ni magharibi , hv mna utakatifu gan msigombane mpk west wachochee
Kweli??? Swali dogo: who killed Lumumba and 4 what reasons if I may ask?Je, malighafi yaku-assemble mabom ya Atomic/nuclear yaliyo dondoshwa Japan killing thousands Japanese yali chimbwa kutoka nchi gani ya Afrika?
 
Labda kama JWTZ itakuwa imefutika,lakini kama bado ipo,hilo swala usahau.Nyie Wafuasi wa PAKA hebu semeni suu Mama ampe dokezo Mabeyo uone mtiti wake.
Mama gezesha to pale hamna lolote
 
Kweli??? Swali dogo: who killed Lumumba and 4 what reasons if I may ask?Je, malighafi yaku-assemble mabom ya Atomic/nuclear yaliyo dondoshwa Japan killing thousands Japanese yali chimbwa kutoka nchi gani ya Afrika?
kwahiyo Mwizi alikuuibia mwaka jana ndo siku usipokiona kitu chako basi unamshutumi direct ? tofautisha zama pia , Waafrika tunakuwa watu wakulia lia tu na huu ndo uchawi unatukwamisha , hv unahis ni sisi pekee yetu ndo tulitawaliwa ? kwnn huko kwngne wanapiga hatua kasoro sisis watu weusi ! makosa makubwa yapo kwetu , point zile zile za Factors leading to colonialism ndo na lep pia zinatucost , hatuna umoja , hatupendan , ukabila , udini , ubinafsi na ujinga nk tukivishinda hv tunaeza kuwa zaid ya China , huyo Patrice au Ghadaf wote tumewaua sisi wenyew , msaada wa wazungu usingekuwa na tija kama tungekuwa wamoja , ila ubinafs na njaa tunawauza wenzetu hlf baadae tunakaa nyuma ya keyboard kusingizia wazungu , ingekuwa nyepes hivyo kwnn hao wazung wamemshindwa Putin au China , simply umoja na mshikamano bila kusahau uzalendo , bila kuyaangalia haya basi tutaendelea kuuana kila siku huku tukisingizia wazungu , Somalia , Libyia , Liberia , Sierra Leone , Drc , Central Africa , S.Sudan , Ethio-Tigray war , Mozambique , Angola nk kote huko tunapigania sisi , kama tusingekuwa wabinfs basi vita visingekwepo kote huko maana hizo silaha na fedha za mzungu zingekuwa meaningles
 
SADC wametoa mimacho tuu pelekeni majeshi hapo yafagie mpaka Kiugali yasepe na slimshade kabisa.
 
Narudia tena kusema ni lazima kwenda kwa hesabu kali kuwatoa M23 pale Congo. Wale jamaa wamejiimarisha kwa mda mrefu, na inaonekana wana support kubwa ya watu tusiowajua nyuma yao.
 
kuna Siku Tanzania tutakuwa imara sana kijeshi, twenda kama sio kuikomboa Congo, basi na sisi tuchukue hayo madini ya bure. inakuwaje linchi likubwa namna ile linakuwa jinga kupigwa na kanchi kama rwanda?
 
Mbona Mozambique walimsaidia na huyu pia wampatie msaada.
πŸ˜„πŸ˜„ Kwa uwezo gani wa kijeshi na kifedha ilionao SADC? Mission ya Mozambique yenyewe both majeshi ya SADC na Rwanda yanasaidiwa pesa na EU.Africa tuwekeze kwny kulima tu,nchi zetu ni maskini mnooo tena Saana.Mambo ya kupigana tuwaachie NATO na Russia
 
Congo wanamadini watumie hayo kama dhamana kuliko kuacha yakachukuliwa na wahuni watumie madini hayo ku fund operation na wakubali wajengewe uwezo wa kijeshi kuweza kujihami.
 
Congo wanamadini watumie hayo kama dhamana kuliko kuacha yakachukuliwa na wahuni watumie madini hayo ku fund operation na wakubali wajengewe uwezo wa kijeshi kuweza kujihami.
Msemaji wa Congo alisema Jeshi lao Ni la 8 kwa nguvu Africa lkn nashangaa wanapigwaje na waasi wenye AK-47 tu.

Kwanza hayo madini yenyewe wanafaidika nayo?CEO wa Congolese national commodity trading and Company "GECAMINES" alisema 70% ya madini ya Congo yanamilikiwa na international firms kutoka China,kazakhstan mpk Switzerland, Canada na South Africa.Na hii 30% iliyobaki wachina bado wanaipiga Tena wakishirikiana na Wanasiasa wa Kinshasa.

Kinachoisumbua Congo Ni:

1.Kutotaka kua responsible na matatizo yake ya ndani

2.Jeshi lisilo na wanajeshi wazalendo na wenye vifaa duni mfano kwa hizi OP serikali Yao ilitenga $74m kwa ajili ya jeshi Lao lkn Ila only $32m ndio imelifikia jeshi nyingine yote imepigwa na Wanasiasa na ma-general wa jeshi.

3.Congo hua inajidanganya eti solution ya matatizo yake ya kiusalama itamalizwa na SADC,MONUSCO,East African Force etc hio Ni Impossible kabisa hao wanajeshi wote wanapenda kwenda huko Congo kwa Sababu wanafuata pesa tu hakuna mtu Yuko pale kuwatetea wacongo,siku wakijua hatma ya nchi Yao iko mikononi mwao watajua nini Cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…