John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Kwa hayo mauaji wanayoyafanya hawatambuliki?!Wakialikwa inamaana wametambulika na kupewa hadhi ya kuwa ni nchi kamili. Haiwezekani. Acha PK atawasemea manake ndo de facto kamanda wao.
Hawawezi kualikwa,kuwaalika ni kuwapa kibali kuwa wao sii majambazi ila ni washirika.Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Bosi wao anawawakilisha.Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Niliona leo al jazeera wakisema madini kutoka nchi ya waasi ambao hawana mgodi yameongezeka kuuzwa duniani maradufu, ni kweli jamaa wanavuna huko drc namba hazidanganyi, it is a factSi washavuna sana
Unyama, Ubaya, Ukorofi na Ubabe wao ndo vinatambulika na kulaaniwa. Lakini wao kama M23 hawawezi kuruhusiwa kuketi meza moja na watu wastaarabu.Kwa hayo mauaji wanayoyafanya hawatambuliki?!
Yeah. Ujanja sio kuwahi bali ni kupata.Niliona leo al jazeera wakisema madini kutoka nchi ya waasi ambao hawana mgodi yameongezeka kuuzwa duniani maradufu, ni kweli jamaa wanavuna huko drc namba hazidanganyi, it is a fact
Kigali imejengwa kwa pesa za madini toka CongoYeah. Ujanja sio kuwahi bali ni kupata.
Kagame anatosha kuwakilisha.Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Kwa hiyo na sasa tena Tolu anataka bado kuuboresha mji huo kwa pesa za madini kutoka congo au sio.Kigali imejengwa kwa pesa za madini toka Congo
Watu wastaarabu huwa hawaibi kura, ama hujui ustaarabu maana yake ni nini?Unyama, Ubaya, Ukorofi na Ubabe wao ndo vinatambulika na kulaaniwa. Lakini wao kama M23 hawawezi kuruhusiwa kuketi meza moja na watu wastaarabu.
Sivyo. Kikao hicho sio cha wale wanaoiba kura. Tungoje hadi kitakapofanyika kikao cha wale wanaoiba kura tuone kama wataalikwa.Watu wastaarabu huwa hawaibi kura, ama hujui ustaarabu maana yake ni nini?