John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Watawala wa nchi za Afrika hususani Ukanda huu wa Afrika Mashariki hawana uwezo wa kuwaalika watu wa M23.
Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kwenye kila nchi ya Afrika kuna watu wa 'M23.'
Hakuna nchi hata moja ya Afrika ambayo inaweza kujinasibu kwamba hakuna makundi au Jamii za watu wa 'M23.'