M23 wamealikwa Joint summit?

M23 wamealikwa Joint summit?

Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi

Watawala wa nchi za Afrika hususani Ukanda huu wa Afrika Mashariki hawana uwezo wa kuwaalika watu wa M23.

Ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kwenye kila nchi ya Afrika kuna watu wa 'M23.'
Hakuna nchi hata moja ya Afrika ambayo inaweza kujinasibu kwamba hakuna makundi au Jamii za watu wa 'M23.'
 
Wakialikwa inamaana wametambulika na kupewa hadhi ya kuwa ni nchi kamili. Haiwezekani. Acha PK atawasemea manake ndo de facto kamanda wao.
Kwa hayo mauaji wanayoyafanya hawatambuliki?!
 
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Hawawezi kualikwa,kuwaalika ni kuwapa kibali kuwa wao sii majambazi ila ni washirika.
 
Niliona leo al jazeera wakisema madini kutoka nchi ya waasi ambao hawana mgodi yameongezeka kuuzwa duniani maradufu, ni kweli jamaa wanavuna huko drc namba hazidanganyi, it is a fact
Yeah. Ujanja sio kuwahi bali ni kupata.
 
Unyama, Ubaya, Ukorofi na Ubabe wao ndo vinatambulika na kulaaniwa. Lakini wao kama M23 hawawezi kuruhusiwa kuketi meza moja na watu wastaarabu.
Watu wastaarabu huwa hawaibi kura, ama hujui ustaarabu maana yake ni nini?
 
Watu wastaarabu huwa hawaibi kura, ama hujui ustaarabu maana yake ni nini?
Sivyo. Kikao hicho sio cha wale wanaoiba kura. Tungoje hadi kitakapofanyika kikao cha wale wanaoiba kura tuone kama wataalikwa.
 
Back
Top Bottom