M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere wanaomsaidia kwani watarejea Makwao wakiwa Maiti" Msemaji wa Waasi wa Kundi la M23.

Chanzo: Amka na BBC ya Leo

Haya nchi Mbili Viherehere moja GENTAMYCINE naijua ni Burundi ila nyingine nimeisahau mmeshaonywa huko na Wanamume tena Wababe wa Vita vya Msituni kuwa kuweni makini vinginevyo mtakuwa mnapokea tu Maiti zao katika Viwanja vyenu vya Jeshi kule Wapaki mita chache na Mahakama ya Mbuzi na zinakotoka Nyama zote za Mabucha yote ya Jiji fulani Kubwa la Biashara Afrika Mashariki.
 
Popoma
Hii ni kweli au wanatishia tu?
M23 hawatishii bali wanamaanisha. Sijui unatokea nchi gani ila watafute Wanajeshi wa nchi Moja Kiherehere yenye Wanajeshi wake huko Congo DR wakupe Taarifa za hawa M23 ndiyo utajua ni kwanini hata Wao wanaomba tu Kurejea katika hiyo nchi yao ambayo GENTAMYCINE nimeisahau kwa sasa.
 
M23 hawatishii bali wanamaanisha. Sijui unatokea nchi gani ila watafute Wanajeshi wa nchi Moja Kiherehere yenye Wanajeshi wake huko Congo DR wakupe Taarifa za hawa M23 ndiyo utajua ni kwanini hata Wao wanaomba tu Kurejea katika hiyo nchi yao ambayo GENTAMYCINE nimeisahau kwa sasa.
Hahahaha
Haya bana

Lakini amin amin nakwambia tayari M23 wameshapewa magitaa na saxafone na wafadhili wao ili waliamshe concert.

Unadhani wana kiwanda cha silaha wale?
 
Muulizeni nae alifanyiwa nini na M23?

Pitia majibu jibu yako - yamejaa majivuno na kujisikia - hivi inaingia akilini kwamba genge moja jeurina wafadhili wake wanafahamika, hivi kweli majambazi hayo yanaweza kweli kukosesha usingizi majeshi ya SADC yakihamua kufanya kweli - kuinusuru Congo DRC kwa mara nyingine tena -hizi ndoto zenu za miaka nenda rudi za kutaka kugawa jimbo la Kivu zitabaki ni ndoto tu daima DUNI, kubalini kubaki kwenye nchi yenu ndogo mliopewa na Mungu - msituletee balaa barani Afrika - kama vipi Tshekedi aombe usaidizi kijeshi kutoka kwa Putin kama walivyo fanya taifa la CAR.
 
Tshisekedi ameanza kampeni ya kujindaa na uchaguzi hivyo ni lazima atafute masuala fulani mazito ili ainue umaarufu.

Lakini pia ukisikia mtu ajiandalia mazingira fulani au kiwingu ndio huku.

Tshisekedi hakupaswa kutoa hotuba ile kule UN kushutumu mambo ambayo hana ushahidi nayo kwamba Rwanda yawasaidia M23 vifaa na ku-supply waasi.

Kule upande wa mashariki kuna vikundi vipatavyo 132 tofauti na hivyo ndivyo vyaua na kubaka wanawake na wasichana wadogo.

Ila upande ambao M23 wapo kuna amani na utulivu kama ilivyo pale Kigali.

Tshisekedi aache kulaumu akazanie kuhakikisha majeshi ya UN yaondoka Congo DRC baada ya kukaa hapo kwa miaka 20 bila kusaidia chochote.

Pili, awe tayari (kisiasa) kutafuta suluhisho la matatizo ya Congo DRC khasa upande wa mashariki.
 
Back
Top Bottom