Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kagane ndiye kiongozi ndani ya EA anayesababisha Kongo DRC isitulie wala isikalike.Ni wana JamiiForums wachache sana wenye Akili Kubwa kama GENTAMYCINE ndiyo Watakuelewa ( tutakuelewa ) kwa haya Madini ya Ukweli uliyoyaandika hapa.
Tegemea Wapumbavu wengi na wenye Chuki na Rais Kagame, Kabila la Tutsi na Wanyarwanda kwa Ujumla kuja Kukupinga na hata Kukushambulia kwa huu Ukweli Mtupu uliouandika hapa.
Ni wakati sasa kwa DRC kuliona hili na kufyagia mpaka kuingia kigali.