GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Ni wana JamiiForums wachache sana wenye Akili Kubwa kama GENTAMYCINE ndiyo Watakuelewa ( tutakuelewa ) kwa haya Madini ya Ukweli uliyoyaandika hapa.Tshisekedi ameanza kampeni ya kujindaa na uchaguzi hivyo ni lazima atafute masuala fulani mazito ili ainue umaarufu.
Lakini pia ukisikia mtu ajiandalia mazingira fulani au kiwingu ndio huku.
Tshisekedi hakupaswa kutoa hotuba ile kule UN kushutumu mambo ambayo hana ushahidi nayo kwamba Rwanda yawasaidia M23 vifaa na ku-supply waasi.
Kule upande wa mashariki kuna vikundi vipatavyo 132 tofauti na hivyo ndivyo vyaua na kubaka wanawake na wasichana wadogo.
Ila upande ambao M23 wapo kuna amani na utulivu kama ilivyo pale Kigali.
Tshisekedi aache kulaumu akazanie kuhakikisha majeshi ya UN yaondoka Congo DRC baada ya kukaa hapo kwa miaka 20 bila kusaidia chochote.
Pili, awe tayari (kisiasa) kutafuta suluhisho la matatizo ya Congo DRC khasa upande wa mashariki.
Tegemea Wapumbavu wengi na wenye Chuki na Rais Kagame, Kabila la Tutsi na Wanyarwanda kwa Ujumla kuja Kukupinga na hata Kukushambulia kwa huu Ukweli Mtupu uliouandika hapa.