M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

Ni wana JamiiForums wachache sana wenye Akili Kubwa kama GENTAMYCINE ndiyo Watakuelewa ( tutakuelewa ) kwa haya Madini ya Ukweli uliyoyaandika hapa.

Tegemea Wapumbavu wengi na wenye Chuki na Rais Kagame, Kabila la Tutsi na Wanyarwanda kwa Ujumla kuja Kukupinga na hata Kukushambulia kwa huu Ukweli Mtupu uliouandika hapa.
 
Mkuu, ahsante kwa compliment.
 
Mkuu, ahsante kwa compliment.
Nakukubali sana hapa JamiiForums muda mrefu na huenda hukuwahi kulijua hili ila leo nakuambia.

Una Akili Kubwa na Mimi huwa Nawapenda mno Watu Werevu ( Intelligent ) na ukiona tu Nagombana na Mtu hapa JamiiForums jua huyo Mtu ni 'Damn Fool' wa Kutukuka.
 
Ushuzi mtupu wajaribu waone watavyofyekwa mpaka huyo sponsor wao.
 
Achana na Operation Kimbunga, kipindi fulani cha JK hawa wahuni walitaka kuiangusha serikali ya Kinshasa, Mzee wa msoga akatuma kikosi kidogo tu cha JWTZ, walipoteana mbaya kabisa, wakakimbilia kwa kibaka mwenzao huko Kigali.
Ikitokea tena kama ile basi JWTZ wasiishie mpakani wawafuate huku huko kwa wafadhili wao ili
kujenga heshima zaidi.
 
Unauliza Akili Israeli?

Israel gani, nyinyi si wabantu tu - average Joe kujitia mko mega smart up stairs ndivyo mlivyo kuwa brought up tangu mko watoto wadogo -ujeuri na kudharau binadamu wenzenu.

Lets revisit your skewed comments shall we? What do they tell you about your inbuilt PERSONNA?? Tunarudi kule kule namely: majivuno,kujisikia,dharau and all vices you can imagine - hulka kama hizi ndio zinachangia sana kwenye ukosefu wa amani katika kanda ya maziwa makuu specifically Burudi,Rwanda,Jimbo la Kivu Congo DRC - lengo hasa nikutaka kuimega jimbo la KIVU lote machafuko mengine ni danganya toto tu akili zao zote zipo jimbo la Kivu asikudanganye mtu, hapa wanajitia kumlahumu/Shutumu Tsishekedi kwa kutetea taifa lake - wanaleta naiugizo tu wanafikiri watu hawana akili ya kujua ajenda zao za siri za miaka nenda rudi za kutaka kuunda empire za kushetani in Great lakes region and beyond - African leaders should nip in the bud kundi hili hatarishi kabla mambo hayaja haribika. Maoni yangu.
 
Karibu sana mkuu hapa JF ni kisima cha maarifa.

Hao waendekazao utoto achana nao ila ikibidi watoa dose.

🙂
 
Mkuu nikuulize suali moja tu, majeshi ya UN pale Congo DRC yapo kwa miongo miwili yafanya kitu gani amani, yaani yapo kwa ajili ya kitu gani khasa pale?
 
Kwa ambavyo Putin ameteswa na Ukraine nimekoma kudharau jeshi ndogo, kwa kweli ukubwa wa jeshi au nchi sio kitu.....
Hawa M23 wanaweza wakasumbua sana tena kwa msaada wa Rwanda.
 
Kwa ambavyo Putin ameteswa na Ukraine nimekoma kudharau jeshi ndogo, kwa kweli ukubwa wa jeshi au nchi sio kitu.....
Hawa M23 wanaweza wakasumbua sana tena kwa msaada wa Rwanda.
Putin anapigana na mataifa zaidi ya 27...udogo gani unaousema mkuu?!
 
Kwa ambavyo Putin ameteswa na Ukraine nimekoma kudharau jeshi ndogo, kwa kweli ukubwa wa jeshi au nchi sio kitu.....
Hawa M23 wanaweza wakasumbua sana tena kwa msaada wa Rwanda.

MK254 kesha sahau rafiki zake walivyo vurumishwa na wakulima wa mpunga wavaa sandals za matiri ya magari na sambrero straw hats huko VietNam, hapo hatujagusia wajukuu wa marehemu Mulla Omari - hilo ulisemi, badala yake huko overly obsessed na Brainy Putin - utaongea sana/mengi lakini Dunia inajua kwamba Putin ni maji marefu - FYI the World banks on Tzar Putin kukomesha mabeberu i.e wakoloni mambo leo - wewe na genge lako kitu hii inawahuma sana sana - bahati nzuri mmekwisha chelewa jamaa amekwisha wazidi kete, mtabakia na ngonjera zenu za kuongezea punitive sanctions yet again!!!
 
Who is behind M23 ???? Africa Africa
 
Putin anapigana na mataifa zaidi ya 27...udogo gani unaousema mkuu?!

Mkuu husipoteze muda wako adimu ku-reason na jamaa huyu - unayo yasema hapa ni kweli tupu lakini kwake "sounds Greek to him" mtabishana hapa usiku kucha!!
 
JAMAA ANAJIPANGA TENA KWENDA KU KWIBA MALI ZA NCHI YA WATU, KUKATA MZIZI WA AKILI ZA KUSUMBUA WATU KWA KUKWIBA YUPO KIONGOZI ATAKIWI KUWEPO MAANA YEYE KILA SIKU AKILI YAKE NI INAFIKIRIA WIZI TU.
 
Kwa ambavyo Putin ameteswa na Ukraine nimekoma kudharau jeshi ndogo, kwa kweli ukubwa wa jeshi au nchi sio kitu.....
Hawa M23 wanaweza wakasumbua sana tena kwa msaada wa Rwanda.
Sio kwa hawa wezi wa madini, ukiwaona wamevaa kombati utasema jeshi ndio hili kumbe ushuzi mtupu, wajaribu waone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…