M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

Kagane ndiye kiongozi ndani ya EA anayesababisha Kongo DRC isitulie wala isikalike.
Ni wakati sasa kwa DRC kuliona hili na kufyagia mpaka kuingia kigali.
 
Popoma una akili gani sasa
 
Putin anapigana na mataifa zaidi ya 27...udogo gani unaousema mkuu?!

Mataifa gani hayo 27, mwambieni aguse kataifa kamoja ka NATO ndio muelewe nini maana ya Urusi kufutwa kwenye uso wa dunia....maustadh bana.
 
Sio kwa hawa wezi wa madini, ukiwaona wamevaa kombati utasema jeshi ndio hili kumbe ushuzi mtupu, wajaribu waone.

Lakini tangu niskie M23 wamefutwa ni kitambo sana, nashangaa bado wapo na wanatoa matamko.
 

Duh! Jamaa ni kama huwa una matatizo, kawaida huwa sisomi hizi insha zako, huwa nasoma mstari mmoja tu wa mwanzo, ila leo nimeamua nivumilie nisome mpaka mwisho tena mara kadhaa nimeshindwa kuunganisha nini unaongea kuhusu. Ha ha ha!!
Anyway kwa kifupi siwapendi hao M23 ila sitawadharau maana nimeshuhudia kubwa jinga Urusi amefanywa vibaya sana na kataifa kadogo yaani....

 
Ikitokea tena kama ile basi JWTZ wasiishie mpakani wawafuate huku huko kwa wafadhili wao ili
kujenga heshima zaidi.
Itakuwa mtiti si unajua madikteta ambavyo huwa wanajitahidi kuimarisha majeshi yao. Vita itarindima lakini tunaweza kumpiga.
 
Hawa wanafikiri sisi ni wao...sasa wajaribu moto waone...mara ya kwanza walitujaribu tukamaliza wotee..
 
M23 wamerejea tena zama za mkwere.

Labda aliyetoa ile kauli " i will hit you" anataka kujaribu bahati yake tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…