Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntabwo ari byiza rwose😂Ndio maana Kuna wanyarwanda walianzisha uzi wao kwa lugha yao
Mikwara mingi mavi matupu.unadhani hao SADC wanaweza kufanya nini sasa?Hawajifunzi tu kushambulia askari wa Tanzania kinachofuata kwa M23 ni mvua ya risasi mpaka border ya Rwanda.
Umecoment kipumbavu sana.Mikwara mingi mavi matupu.unadhani hao SADC wanaweza kufanya nini sasa?
Nyie Watusi huyo godfather wenu siku akilamba mchanga mtakula Tena matunda pori msituni kama nyani.Nyie endeleeni tu kuning'iniza pua kwenye mambo yasiyowahusu!
Acha papara si usubiri kwani we unadhani SADC ni sawa na jeshi la Congo.Mikwara mingi mavi matupu.unadhani hao SADC wanaweza kufanya nini sasa?
Tuliza tulipeHii ndio shida ya kuingilia mambo ya siyo tuhusu . Hao M23 siyo wale wa 2013 serikali rudisha vijana wetu nyumbani. Mgogoro wa Congo utatuliwa na wacongomani wenyewe.
Rais Samia alikuwepo huko Jana...Majina hayajatajwa.
Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekuri kuwa anawaumga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao.
Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC.
View attachment 2957891
Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
Hii ndio shida ya kutokuwa makini na majitu ya mipakani. Yanavuka mipaka na kuja kujichanganya raia wa taifa letu yanajifanya ni matanzania ila roho zao za hovyo tunayashtukia.Ndio maana Kuna wanyarwanda walianzisha uzi wao kwa lugha yao
Sio Moja, zipo kibao izo nyuzi..Ndio maana Kuna wanyarwanda walianzisha uzi wao kwa lugha yao
usitafute amani wakati wa vita utakufa mapema (Mh Khamisi Mwinjuma 2013)"Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC"
Watanzania sio mbumbumbu kama inavyofikiriwa
Tafsiri yake, haina maana kuna Ukweli wowote ule na Tafasiri.
Badala ya kuchochea uhasama, kwanini tusichochee Urafiki?
Yaani hizi nyuzi za Uchonganishi mwisho wake utakuwa ni Vita-sasa utakuwa umefanya nini-Kuongeza Watanzania wengine wafe tu, to what end?
Hawajifunzi tu kushambulia askari wa Tanzania kinachofuata kwa M23 ni mvua ya risasi mpaka border ya Rwanda.
Ukishambulia peacekeepers wana right ya kujilinda, kama wanadhani walipoweka kambi sio salama shurti ku-neutralise athari.Itatokea hiyo?
Tutafanya hivyo?Ukishambulia peacekeepers wana right ya kujilinda, kama wanadhani walipoweka kambi sio salama shurti ku-neutralise athari.
M23 kwa kurusha hilo kombora wamewapa kibali SADC kutumia silaa dhidi yao na aitokuwa mara ya kwanza kusikia mziki wao.
Shida ya hawa watu kudhania wana nguvu kweli za kijeshi, wakati strategically Tanzania ina uwezo wa kukata supply ya chakula na mafuta kote Rwanda na Goma; kikafuata kichapo cha muda mfupi hawana pa kukimbilia magari hayana mafuta huku wananchi njaa.