M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

Hii vita haituhusu sisi,Congolese wameamua kuuwana wenyewe tuwaache,hivi ukiwauliza simple question why wanapigana vita sidhani kama wana jibu,rudisha wanajeshi wetu waje walinde hizi porous borders zetu,Mozambique border kuna shida na jeshi la SADC linaondoka,naona RAF wana ichukua vita hii,sisi to hold line yetu ili hii vita isienee kwetu
Shida ya hii vita iko at our door steps, ni security threat, either tu deal nayo leo or in the future tuingie kwneye conflict kubwa zaidi
 
Wanajeshi watatu ni wengi sana jamani huu msiba ni mkubwa
 
RiP wanajeshi wetu imagine famikia zao sasa.....tusiache kwenda kulinda amani ni mazoezi tosha kukua mbinu mpya kutoka majeshi washirila na vifaa vipya.....tukijifungia ndani sio kweli...pia wanapata $$ kusaidia maisha kusonga mbelee
 
Bro, nakusihi kajikite kwenye celebrities forums tu, haya mambo yako juu sana ya uwezo wako wa kuyaelewa.
Au na wewe ni mwanajeshi, na nilini uliniona celebrity forum au unataka kufaidisha hadhira.
 
Au na wewe ni mwanajeshi, na nilini uliniona celebrity forum au unataka kufaidisha hadhira.
lugha yako, inaakisi.

Hufahamu why wanajeshi wanatake charges Congo? Congo ikiwa vitani inatupa mzigo wa wakimbizi. Congo mashariki ikiwa warzone, athari za usalama zinaingia hadi kwetu-ujambazi, utekaji magari and influx ya silaha hasa mikoa ya Magharibi. Congo ikitekwa na hao watu wa Kagame, biashara yetu na Congo itaathirika sana-chain; malori, mahotel, vyakula hadi Bandari Dar. N.k!

Bado unaona ni uzalendo kinyesi?
 
R.I.P. makamanda wetu, M23 ni cha mda mrefu, kunawatu wanachichea ili waendelee kuchota mali. Wa Congo inabidi waelewe hili amani hailetwi na mtu wa nje
 
Hawa M23 wanawachekea walistahili wapigwe kwa ku attack all around mpaka ndani ya Rwanda by hot pursue. Peace Keaping orders wakati mwingine hazifanyi kazi inayolengwa.TPDF fanyeni kweli hawa M23 hawana utani mtaisha na kudhalilisha jeshi.
 
Ajali kazini, kama madereva wa mabasi yanavyowakuta mabarabarani, being a soldier is to sign your own death certificate, and you desire the consequences of war.

Hivi kwa nini JWTZ wasipeleke moto kama wa enzi ya JK mpaka jamaa wakarudi kwao Rwanda na Uganda? Wapelekewe moto halafu JWTZ wapewe kazi ya kulitawala eneo hilo kwa miaka kama kumi hivi, na ku-set up security and administrative structures.
 
Ukijiuliza hawa waasi wanapata wapi na wanaingiza vipi ammunition, bado kuna kazi ngumu sana ya kufungua hii Pandora
 
lugha yako, inaakisi.

Hufahamu why wanajeshi wanatake charges Congo? Congo ikiwa vitani inatupa mzigo wa wakimbizi. Congo mashariki ikiwa warzone, athari za usalama zinaingia hadi kwetu-ujambazi, utekaji magari and influx ya silaha hasa mikoa ya Magharibi. Congo ikitekwa na hao watu wa Kagame, biashara yetu na Congo itaathirika sana-chain; malori, mahotel, vyakula hadi Bandari Dar. N.k!

Bado unaona ni uzalendo kinyesi?
Nmekuelewa mkuu,( vry sorry)
But Tuna pata hisia Kali kuhusu haya mambo hayaaishi tu toka ninakua yapo till now.
Hii inaumiza sana kua watz wanakufa Bila hatia.
 
Kama siyo nusu ya wanajeshi wa Tanzania ama robo ni wanyarwanda na viongozi wengi wa Tanzania kwa sasa ni wanyarwanda kazi hipo yetu macho
 
"Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC"

Watanzania sio mbumbumbu kama inavyofikiriwa

Tafsiri yake, haina maana kuna Ukweli wowote ule na Tafasiri.

Badala ya kuchochea uhasama, kwanini tusichochee Urafiki?

Yaani hizi nyuzi za Uchonganishi mwisho wake utakuwa ni Vita-sasa utakuwa umefanya nini-Kuongeza Watanzania wengine wafe tu, to what end?
Hawa M23 wangalikuwa waislam ungalisikia propaganda lkn kwa kuwa akina John kimya
 
Back
Top Bottom