Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri umekuwa watolewa kwamba ni lazima madai ya M23 yasikilizwe.Tafasiri yako ichukuliwe kwa Tahadhari-sio kwamba siitaki, nakataaje maoni yako?
Mkuu suala hili ni very complex na naamini unajua hilo, Fika.
Tatizo langu ni hizi lugha za Uchonganishi na Kwanini Watanzania waingizwe kwenye Vita hii. Hypothetically, Watanzania watatu wamekufa(God rest their soul) Tunaingia Kumchapa Kagame-then what? Mitafaruku ya Congo inaisha? au za Tutsi na Hutu? Sidhani.
We ni mpumbavu na idiot. Wanajeshi wameuawa na waasi wewe unalazimisha ni Rwanda. Very stupid.Majina hayajatajwa.
Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekuri kuwa anawaumga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao.
Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC.
=====
Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora lililotokea katika Mji wa Kivu ulio Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jumuiya ya Ushirikiano ya SADC imethibitisha habari hizo kupitia tovuti yake.
Taarifa ya SADC iliyowekwa kwenye akaunti yake ya mtandao wa X (zamani Twitter) ,ilisema katika shambulio hilo la kombora, wanajeshi wengine watatu wa Tanzania walijeruhiwa.
Askari wa Tanzania ni sehemu ya Kikosi cha SADC kilichopelekwa Mashariki mwa DRC kwaajili ya kulinda amani ikijumuisha pia nchi za Malawi na Afrika Kusini.
View attachment 2957891
Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
Hapo ni vitani. Anauawa yeyote.Hawajifunzi tu kushambulia askari wa Tanzania kinachofuata kwa M23 ni mvua ya risasi mpaka border ya Rwanda.
Acha kupika maneno. Usipende kuropoka kwenye mambo usiyoyajua.Hutaki hiyo tafasiri. Jana PK kaulizwa kama anaunga mkono M23 akajibu haoni sababu ya kutowaunga mkono. Thats means anawaunga mkono.
Hivyo tafasiri ni kutokana na maneno ya PK.
Kama M23 ni nduguzo waambie waache kuuwa raia wa DRC. Africa tumechoka vita za Watutsi.
Tangu na tangu kila vita lazima mshiriki mnauwa maras na marais. Zama na zama
Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
Acha vitisho vya kijingaNyie Watusi huyo godfather wenu siku akilamba mchanga mtakula Tena matunda pori msituni kama nyani.
Utakumbia weweNaona mizigo mizito mizito inapita hapa Goma....wajiandae kukimbilia Ethiopia!!!!
Ila aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.Acha papara si usubiri kwani we unadhani SADC ni sawa na jeshi la Congo.
Unauwa watu ambao awakushambulii.Hapo ni vitani. Anauawa yeyote.
SADEC wamezuiawa kupigana vita huko na mashambulizi ya ndege pia yapigwa marufukuWapumzike kwa amani wanajeshi wetu,lakini hakuna jinsi hii vita inatuhusu sana tu.Hakuna kurudi nyuma na wawape majibu mazito kwa unyama huo.Serikali iwaangalie sana hawa jamaa wa Rwanda ndani ya Tanzania siyo watu wazuri kabisa.Nategemea SADC nao wanajuwa nini cha kufanya kwa hao M23.
Unajua maana ya ugaidi?Magaidi ya M 23 yanayo fadhiliwa na Rwanda ya fyekwe
Wanauwezo wakupigana na SADC kama wangekuwa wanashambulia.Ila aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.
Siyo aibu Jeshi la SADEC limezuiwa kupigana, mashambulizi ya ndege pia wamezuia UN na America.Ila aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.
Wakati M23 wanalalamika kushambuliwa na Jeshi la SADC si mlifurahia, Leo kajibu mapigo mnaanza kulalamika. Tupunguze unafiki.Unauwa watu ambao awakushambulii.
Given the timing of the attack hiyo inaweza tafsiriwa kama ni retaliation tu dhidi ya kiongozi wao aliekamatwa Tanzania na kupelekwa Congo.
Kwa maana nyingine ni direct attack dhidi ya Tanzania, sasa a proportionate response inahitajika dhidi ya M23. Kutopeleka kichapo ni kuwaaminisha wanauwezo ata wakupiga ndani ya Tanzania na kuachwa.
Acha propaganda wale wapo kule kusaidiana na FDLR kupambana na BanyamulengeWanauwezo wakupigana na SADC kama wangekuwa wanashambulia.
Mind you SADC hipo combat ready huko (maana yake wana kila zana ya kupigana wakiamua) anytime wanaweza kukinukisha wakitaka.
M23 hawajui mipaka yao, ni uchokozi mkubwa sana kuuwa askari wa nchi nyingine; unawapa uhalali wa kujilinda hata kama lengo ni peacekeeping.
Hayo umesema wewe ila kwenye ground ni tofautiSiyo aibu Jeshi la SADEC limezuiwa kupigana, mashambulizi ya ndege pia wamezuia UN na America.
Usilaumu Jeshi
Subiri kichapo cha SADC kianze ndio utajua tofauti ya peacekeeping na combat.Acha propaganda wale wapo kule kusaidiana na FDLR kupambana na Banyamulenge
Punguza ujuaji, kiongozi wa kijeshi wa M23 ni Sultan Makenga, mwislamu.Hawa M23 wangalikuwa waislam ungalisikia propaganda lkn kwa kuwa akina John kimya
Mkuu ogopa sana Rebels with a causeIla aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.