M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

M23 warudi kwao rwanda,hata fdrl walienda congo kitambo kama m23 tu,lakini mbona fdrl awalalamiki kama wao ni wacongo na tena wengi wamezaliwa congo ila wanajua wako ukimbizini kama walivyozaliwa wengi wa m23
M23 wamezaliwa Congo ndo nyumbani kwao.
 
1712708915788.png
 
Ukishambulia peacekeepers wana right ya kujilinda, kama wanadhani walipoweka kambi sio salama shurti ku-neutralise athari.

M23 kwa kurusha hilo kombora wamewapa kibali SADC kutumia silaa dhidi yao na aitokuwa mara ya kwanza kusikia mziki wao.

Shida ya hawa watu kudhania wana nguvu kweli za kijeshi, wakati strategically Tanzania ina uwezo wa kukata supply ya chakula na mafuta kote Rwanda na Goma; kikafuata kichapo cha muda mfupi hawana pa kukimbilia magari hayana mafuta huku wananchi njaa.
Kwamba bandari ya Mombasa wao hawaitumii?!
 
Kwamba bandari ya Mombasa wao hawaitumii?!
Mombassa ni njia ndefu kwao halafu ndege moja tu Inauwezo wa kuharibu barabara ya Gatuna Border kufanya shughuli yao kuwa ngumu zaidi. Bado Tanzania ina uwezo wa kuikata hiyo njia hata kwa ground invasion ya North Rwanda.

Mbaya zaidi food supply yao ni heavily dependent kutoka Tanzania na hakuna immediate logistic arrangements za kuweza kutatua hilo tatizo kukidhi reserve ya vita vya muda mrefu.

Rwanda is poor and strategically vulnerable to Tanzania to embark on full war given their geographical disadvantages.

Tanzania ikikata supply kwa uchumi wao wanahitaji commitment ya western nations kana inavyosaidia Israel ili waongeze siku (sio kushinda vita) na Tanzania hapo tena Kenya iamue kuwa upande wao which is unlikely.

Sidhani hata kama wana reserve ya mwezi wa mafuta huko Rwanda let alone the capability to hide large sums.

Ni watu wanaoishi kwenye ka dunia kao cha kujitukuza tu; Congo sio Tanzania.
 
Back
Top Bottom