M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

SADEC wamezuiawa kupigana vita huko na mashambulizi ya ndege pia yapigwa marufuku
Lile shambulizi la Jeshi la Tanzania kuwapiga M23, M23 wakaandika barua UN na America naye akaingilia SADEC wakazuiawa kupigana Jeshi la SADEC lipo kati miji ya Sake na Goma hawatoki kwenye hiyo Miji
Wanatoa vifaa kwa jeshi la Congo
Okay nimekupata mkuu
 
Ndio maana EAC Force ilitaka kuweka Dialogue mbele kwanza ila huyo Raisi wa Kongo alikuwa anaongea tough talking wakati hana Jeshi kwa lengo la kupata kura.

M23 walikuwa wameanza kuliamini Jeshi la EAC na huu mgogoro ungeishia Mezani.

eac unamaanisha kenya na ug au wasaka sare nao wamo?
 
Majina hayajatajwa.

Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao.

Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC.

=====

Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora lililotokea katika Mji wa Kivu ulio Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jumuiya ya Ushirikiano ya SADC imethibitisha habari hizo kupitia tovuti yake.

Taarifa ya SADC iliyowekwa kwenye akaunti yake ya mtandao wa X (zamani Twitter) ,ilisema katika shambulio hilo la kombora, wanajeshi wengine watatu wa Tanzania walijeruhiwa.

Askari wa Tanzania ni sehemu ya Kikosi cha SADC kilichopelekwa Mashariki mwa DRC kwaajili ya kulinda amani ikijumuisha pia nchi za Malawi na Afrika Kusini.

Nichangieni nauli niende nikaokoe askari wetu.
 
Ila aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.
Duh! Kule mashariki ya kati WaIsraeli wakiwa wanapewa kila aina ya ushirikiano na Nchi kubwa, wanapigana na, wanachokiita Kikundi cha magaid kwenye eneo kama Temeke(pun intended)Yaani Hamas. Miezi sita ishapita.

Huku nyuma ya Pazia kuna Wahouthi, Wairan na Waarabu wengine, Quatar n.k n.k

Pointi ni kwamba hawa M23 kwa namna yeyote ile, haiwezekani wakawa wanafadhiliwa na Serikali ya Rwanda peke yake, na hiyo ni kama kuna Ukweli wowote ule kwamba wanafanya hivyo. Itoshe, Ufadhili huu unaweza ukawa unatokea toka Uingereza kwa kisingizio cha kuwasokomezea "asylum seekers" Pesa murwa. Ni theory tu. Ujanja mwingi.
 
We jamaa unachopinga nini hasa mbona hueleweki?
Ad Hominem. Sema wewe ndio huelewi, na kamwe usisite kuomba ueleweshwe
kama huelewi, unauliza ueleweshwe. Hio ndio kanuni. Vinginevyo unaelewa vipi mazungumzo yasiyokuhusu?
Ukweli ni kuwa Watanzania Watatu wamefariki.

Sawa, sasa, uzi haukuletwa kuwapa pole Watanzania watatu waliouwawa. Kasome tena uelewe.
 
Ushauri umekuwa watolewa kwamba ni lazima madai ya M23 yasikilizwe.

Huu mgogoro si wa kuuingilia kichwakichwa ni lazima kuwe na stratejia ya kueleweka.
100%

Kuna watu wana Interests zao huko, na tusijidanganye na propaganda za kuwa "haya ni matatizo yetu" ...Kipekee. au Kwamba ni Kagame tu ndio Tatizo.

Nachelea kusema, sadc wamo kuhakikisha kwamba mgogoro huu hauvuki mipaka. Full stop.
 
Na baada ya hapo wataungana na kuoata nguvu zaidi. Watataka Kigoma, Geita, Kagera na Tabora.

Mwezi mmoja uliopita Waziri Biruta wa Rwanda alisema hata Waha wa Tz ni Wanywarwanda

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
Kwanza Napenda kutoa pole kwa familia za mashujaa wetu na pole kwa cdf na jwtz kwa ujumla .
Tatizo lililopo jeshi la Congo ni walarushwa sana ndiyo maana vita ya kivu haimaliziki, wapo tayari kuachia maadui watawale na wakati mungine sio ajabu wakauza Siri za jeshi la sadc, Nashauri jeshi letu la Jwtz katika kutekeleza majukumu wasishirikiane kabisa na Congo Bali washirikiane na wenzao wa sadc afrika kusini na Malawi , wakongo man ni jamii ya watu vigeugeu na wenye kutanguliza maslahi mbele kuliko uzalendo .

Shambulizi walilofanya waasi ni la kuvizia kushambulia kambi wakati jwtz wamepumzika vinginevyo m23 hawana uwezo wa kupigana ana kwa Ana na jwtz.

Kama wataona inawafaa jeshi letu wachimbe mahandaki tunnels au trenches Kama wanavyofanya Ukraine na Russia ili kutokuwa wazi kwa maadui wetu .

Yote kwa yote vurugu na vita huko jimbo la kivu haisikiki tena sababu ya kazi nzuri ya jeshi letu .
 
Haka kanchi kadogo ni kwa nini tusikakomeshe?
Usipende kutanguliza chuki. Kasome Historia ya M23 ndio uje uongee. Wakati Banyamulenge wanamuingiza kabila madarani mwaka 1997 mbona hizi kelele hazikuwepo?. Leo ndio mnajifanya kuwa na chuki kwa Banyamulenge ambayo ni raia halali wa DRC. Ndio maana hata Katiba ya DRC inatambua uwepo wa Lugha ya kinyarwanda.
 
Ushauri umekuwa watolewa kwamba ni lazima madai ya M23 yasikilizwe.

Huu mgogoro si wa kuuingilia kichwakichwa ni lazima kuwe na stratejia ya kueleweka.
M23 warudi kwao rwanda,hata fdrl walienda congo kitambo kama m23 tu,lakini mbona fdrl awalalamiki kama wao ni wacongo na tena wengi wamezaliwa congo ila wanajua wako ukimbizini kama walivyozaliwa wengi wa m23
 
Back
Top Bottom