M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

Rais Samia alikuwepo huko Jana...
Too Bad...
 
Ndio maana Kuna wanyarwanda walianzisha uzi wao kwa lugha yao
Hii ndio shida ya kutokuwa makini na majitu ya mipakani. Yanavuka mipaka na kuja kujichanganya raia wa taifa letu yanajifanya ni matanzania ila roho zao za hovyo tunayashtukia.

Watanzania hawapendi ugomvi wala vita yenyewe sasa huwa yana washwawashwa muda wote kusikia milipuko, hayana upendo, ni visiriani na mafitini.

Raia mripoti majitu ambayo mnayatilia mashaka kuwa sio raia wa asili ya Tanzania kwa kuzaliwa. Sio kwasababu mtu anaongea kiswahili basi mtanzania.

Raia tuna wajibu wa kulinda taifa letu.
 
usitafute amani wakati wa vita utakufa mapema (Mh Khamisi Mwinjuma 2013)
 
Itatokea hiyo?
Ukishambulia peacekeepers wana right ya kujilinda, kama wanadhani walipoweka kambi sio salama shurti ku-neutralise athari.

M23 kwa kurusha hilo kombora wamewapa kibali SADC kutumia silaa dhidi yao na aitokuwa mara ya kwanza kusikia mziki wao.

Shida ya hawa watu kudhania wana nguvu kweli za kijeshi, wakati strategically Tanzania ina uwezo wa kukata supply ya chakula na mafuta kote Rwanda na Goma; kikafuata kichapo cha muda mfupi hawana pa kukimbilia magari hayana mafuta huku wananchi njaa.
 
Tutafanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…