Naomba kuelewa jambo; kwani M23 wanachokitaka ni nini ili waridhike na waondokane na uasi?Majina hayajatajwa.
Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao.
H
Wewe lazima ni muhutu tuu,ila wenzako walishaacha hayo mambo ya kipumbavu, wapoRwanda wanajenga nchi na umojaHutaki hiyo tafasiri. Jana PK kaulizwa kama anaunga mkono M23 akajibu haoni sababu ya kutowaunga mkono. Thats means anawaunga mkono.
Hivyo tafasiri ni kutokana na maneno ya PK.
Kama M23 ni nduguzo waambie waache kuuwa raia wa DRC. Africa tumechoka vita za Watutsi.
Tangu na tangu kila vita lazima mshiriki mnauwa maras na marais. Zama na zama
Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
Bado mna uhutu na ututsi!?..huo ni uhayawani,staarabikeniWewe lazima ni muhutu tuu,ila wenzako walishaacha hayo mambo ya kipumbavu, wapoRwanda wanajenga nchi na umoja
Waingizwe jeshi la congo na watambulike rasmi Kama raia wa congo toka mashariki mwa nchi,ambako ardhi Ina rutba na inalimika,maana Rwanda ni milima na mabonde na bado wapo 12mNaomba kuelewa jambo; kwani M23 wanachokitaka ni nini ili waridhike na waondokane na uasi?
Mwambie ndugu yako na wewe unaonekana ni mmoja wao na huna akiliBado mna uhutu na ututsi!?..huo ni uhayawani,staarabikeni
Mtalia si muda mrefuAba Tanzaniya barasinziriye
Huna akili wewe unayekimbilia kuwapa watu makabila yasiyo wao,mpuuzi kabisa,ndiyo maana mlifyekwa Kama migombaMwambie ndugu yako na wewe unaonekana ni mmoja wao na huna akili
Mtalia si muda mrefu
Ni rahisi kuisema hii.Tanzania ilipe kisasi
Cha kusikitisha sana,mtu aliyeleta matatizo makubwa yote haya ni Nyerere kwa kufadhili ndugu zake watusi,Nyerere ndo wakulaumiwa sana kwenye hiliWapumzike kwa amani wanajeshi wetu,lakini hakuna jinsi hii vita inatuhusu sana tu.Hakuna kurudi nyuma na wawape majibu mazito kwa unyama huo.Serikali iwaangalie sana hawa jamaa wa Rwanda ndani ya Tanzania siyo watu wazuri kabisa.Nategemea SADC nao wanajuwa nini cha kufanya kwa hao M23.
Watambulike kama wacongo then waunde taifa lao na kujitenga na congo kama ilivyokua sudan na sudan kusini,nchi yao itaitwa nord kivu na ndio sehemu yenye utajiri mkubwa wa madini nchini congo,cha ajabu hilo eneo lina wakimbizi wengine wa kutokea rwanda wahutu wanajiita fdrl ila wahutu wanaamini wao ni warwanda,watutsi wa m23 wanadai wao wacongo sababu wazee wao walipokimbia rwanda during habyarimana regime wao wakazaliwa ndani ya ardhi ya congo,kule kigoma kuna warundi wapo camp toka utawala wa buyoya burundi,wamezaa na hadi wamejukuu wakiwa camp but awathubutu kudai u TZNaomba kuelewa jambo; kwani M23 wanachokitaka ni nini ili waridhike na waondokane na uasi?
Hii sio kweli, na sehemu kubwa ya hii vita ni misinformation kama hizi, go educate yourself before spreading liesWatambulike kama wacongo then waunde taifa lao na kujitenga na congo kama ilivyokua sudan na sudan kusini,nchi yao itaitwa nord kivu na ndio sehemu yenye utajiri mkubwa wa madini nchini congo,cha ajabu hilo eneo lina wakimbizi wengine wa kutokea rwanda wahutu wanajiita fdrl ila wahutu wanaamini wao ni warwanda,watutsi wa m23 wanadai wao wacongo sababu wazee wao walipokimbia rwanda during habyarimana regime wao wakazaliwa ndani ya ardhi ya congo,kule kigoma kuna warundi wapo camp toka utawala wa buyoya burundi,wamezaa na hadi wamejukuu wakiwa camp but awathubutu kudai u TZ
Inaonekana vita ya Congo ni kwa sababu ya misinformation kama hizi, matatizo mengi Africa ni ujinga kama huuCha kusikitisha sana,mtu aliyeleta matatizo makubwa yote haya ni Nyerere kwa kufadhili ndugu zake watusi,Nyerere ndo wakulaumiwa sana kwenye hili
Mkuu ile ni ajira kama ulivyoajiriwa wewe kwenye Sekta ya afya ama Mimi kwenye Sekta ya UjenziHuwa nashangaa Sana ninaposikia MTU Ana-sacrifice maisha yake kwa ajili ya wanasiasa na unauliwa .
Vita zote duniani ni kwa ajili ya faida ya wanasiasa. tu.
Inasikitisha Sana hii situation kiukweli.
RIP ALL😭
Wangeweka wazi Majina ya hao Marehemu ili kuweza kuwatambua, wengine tuna ndugu zetu humo walioenda kulinda amani DRC
Kazi nyingine Zina risks kubwa sana ya kupoteza maishaYupo mtoto wa mkufunzi wangu
Inaumiza Sana kiukweli