MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
- Thread starter
- #21
Ndio. Una la ziada?Naona kazi yako kutuletea nyuzi za habari nzuri za M23, mmetumwa na Kagame kufanya PR na Informatiom warfare?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio. Una la ziada?Naona kazi yako kutuletea nyuzi za habari nzuri za M23, mmetumwa na Kagame kufanya PR na Informatiom warfare?
Siku zote mzungu anaweka matako palipo masirahi yake. Kumbuka, pale, wababe wote wamo. Na hawataki kuonekana wapo nyuma ya mzozo huo.Mkuu hii ya 🇺🇸 kuwataka raia wake kuwa vigilant na pass zao ready kwa madai ya kwamba DR na burundi wanaweza vamia kigali iko vipi?
Binafsi naiona hii situation very complicated ni hali imebadirika ghafla hata habari za mitandaoni ni kama zimepoa. Yaani UN walikuwa wapi kutoa matamko kabla mambo kufika huku yalipofikia. Will not be sprised iwapo hata wakija na mpango wa kuigawa congo. Waafrica huwa haiwezekani kuweka nguvu pamoja sababu ya unafki na tamaa za hapa na pale.Siku zote mzungu anaweka matako palipo masirahi yake. Kumbuka, pale, wababe wote wamo. Na hawataki kuonekana wapo nyuma ya mzozo huo.
Kuhusu issue ya kuvamia Kigali, uwezekano wa kitu hicho ni 0.005%. Kilichowaponza wote huko(DRC, SAMIDRC, Mercenaries, Burundi) wote walichukulia poa ujasusi wa Rwanda.
Mpaka sasa, kuanzia Goma mpaka walipo sasa hivi, wameshapoteza sana.
DRC, ingefikilia hivyo kama kungekuwa na njia. M23 haiwezi. DRC itavamia Rwanda kupitia wapi? Burundi, labda kwenye ndoto.
Kwa hiyo, ni ile tu kwamba DRC imeegemea wanafiki, moto umewaka, wakakaa mbali, na kumuacha rais ajijue mwenyewe.
Ndo maana mpaka sasa, wanaoweka vikwazo, hakuna aliewahi kuiomba M23 kurudi nyuma, kusitisha mapigano au kuachia maeneo. Hata ikitokea ikasitisha vita, ina maana maeneo inayokalia kwa sasa, hayawezi kurudi mikononi mwa serikali.
Na kumbuka, eneo hili(mashariki) ndo uti wa mgongo kuhusu madini DRC.
Kilio chechetu mtakielewa tu!Wewe jamaa ndiye 'mouth piece ' wa M23 humu jamvini.
Hapana Banyamulenge. Endelea, wapo utakao waokotaNdio. Una la ziada?