Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie

Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
 
Shule hizo zilivyo za ajabu, utakuta mpaka leo hajalipwa mshahara. Na anafanya kazi masaa 10+ kwa siku.

Hadira anazihamishia kwa mtoto.

CEOs, lipeni mishahara kwa wakati. Toeni motisha na zingatieni uadilifu.
 
😂😂 ila kisirani cha hapo kuna miezi kinakuwaga cha ajabu.
Sote hi control hali zetu. Why umuite mtoto mchanga malaya.

Atakuwa amesema ...'xwewe malaya ingia kwenye gari...."

Nashaur shule imchunguze imuadabishe
 
Sote hi control hali zetu. Why umuite mtoto mchanga malaya.

Atakuwa amesema ...'xwewe malaya ingia kwenye gari...."

Nashaur shule imchunguze imuadabishe
sijamtetea…. Kuna watu matusi kwao ni kawaida, hawaoni haya wala shida. Hajui anamropokea nani,, probably atakuwa miongoni mwao.
 
ungechukua namba yake unipe nimfundishe adabu huyo mshangazi.....,atayasema hayo matusi yake magetoni
 
Shule hizo zilivyo za ajabu, utakuta mpaka leo hajalipwa mshahara. Na anafanya kazi masaa 10+ kwa siku.

Hadira anazihamishia kwa mtoto.

CEOs, lipeni mishahara kwa wakati. Toeni motisha na zingatieni uadilifu.
Nilitaka kuandika hivi pia, hizi private earl childhood schools, nyingi haziwalipi kwa wakati hao watumishi, sitetei alichofanya huyo madam lakini wawalipe kwa wakati itaepusha mengi.
 
Back
Top Bottom