Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

Wewe ndo umekosea kwa kuitaja kwa jina. Futa jina la shule
 
Shule hizo zilivyo za ajabu, utakuta mpaka leo hajalipwa mshahara. Na anafanya kazi masaa 10+ kwa siku.

Hadira anazihamishia kwa mtoto.

CEOs, lipeni mishahara kwa wakati. Toeni motisha na zingatieni uadilifu.
Ni kweli
 
Back
Top Bottom