Natafuta pesa JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 279 Reaction score 384 Feb 10, 2024 #21 Castr said: Mtu yuko period ana ugomvi na mwenzi anajikuta anashindwa balansi emotions na kazi Click to expand... Plus hajalipwa miezi sasa, ni noma
Castr said: Mtu yuko period ana ugomvi na mwenzi anajikuta anashindwa balansi emotions na kazi Click to expand... Plus hajalipwa miezi sasa, ni noma
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Feb 11, 2024 #22 Mama Edina said: Naona italeta usumbufu, si unajua cyber crime. Na udhalilishaji katika picha kuna mtoto Click to expand... Chai. Mada ifutwe maana ina nia ya kuchafua shule ya Fortune mleta mada inawezekana kabisa ameandika kutokana na chuki binafsi kwa kuwa ushahidi hana. Mhariri Moderator Paw Active Innovator Panel JamiiForums Invisible
Mama Edina said: Naona italeta usumbufu, si unajua cyber crime. Na udhalilishaji katika picha kuna mtoto Click to expand... Chai. Mada ifutwe maana ina nia ya kuchafua shule ya Fortune mleta mada inawezekana kabisa ameandika kutokana na chuki binafsi kwa kuwa ushahidi hana. Mhariri Moderator Paw Active Innovator Panel JamiiForums Invisible
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 640 Reaction score 1,141 Feb 11, 2024 #23 Wewe ndo umekosea kwa kuitaja kwa jina. Futa jina la shule
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 11, 2024 #24 Inasikitisha sana
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Feb 11, 2024 #25 Dr Restart said: Shule hizo zilivyo za ajabu, utakuta mpaka leo hajalipwa mshahara. Na anafanya kazi masaa 10+ kwa siku. Hadira anazihamishia kwa mtoto. CEOs, lipeni mishahara kwa wakati. Toeni motisha na zingatieni uadilifu. Click to expand... Ni kweli
Dr Restart said: Shule hizo zilivyo za ajabu, utakuta mpaka leo hajalipwa mshahara. Na anafanya kazi masaa 10+ kwa siku. Hadira anazihamishia kwa mtoto. CEOs, lipeni mishahara kwa wakati. Toeni motisha na zingatieni uadilifu. Click to expand... Ni kweli