DOKEZO Ma-DED, maofisa Utumishi wadaiwa kuzuia walimu kujitoa CWT, kujiunga na vyama vingine

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Maiti Imeng'ang'ania Muoshaji πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜πŸ˜€πŸ˜„πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™…β€β™‚οΈπŸ™…β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Hata sisi wa Tuico tunakatwa 2 percent lakini mbona hatulalamiki
 
Poleni na hongereni,ilanaomba kujua chakamwata nayo inapokea michango ya walimu kama ilivyo CWT?
 
Siyo hivyo TU hata makampuni ya fedha kama maboto ukiba balance uwalipe ni mgogoro mkubwa. Utadhani MABOTO nchii hii yupo juu ya sheria kuna ushahidi wa walimu kunyanyaswa sana,BOT tunaomba wachukue hatua maana Sheria IPO wazi,
 
Mjomba angu alipostaafu kazi ya ualimu alipewa mabati na chama cha walimu
 
Mjomba angu alipostaafu kazi ya ualimu alipewa mabati na chama cha walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…