Ma dj wanazingua kupiga nyimbo za dini kwenye disco na night clubs

Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania.

Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini katika night clubs hizo na zinagusa imani za wengi mule na zikipigwa huwa narudi kukaa naendelea kunywa kinywaji Au kuchezea simu maana kwa kweli huwa inaniuma sana inapigwa nyimbo ya Dini AF kuna miamba inabambia na wengine wanakula Bia na wengine wanatakanana Dah somehow tunakuwa tunalipaka matope jina la muumba wetu.

Madj nakubali sana kazi zenu lakini hebu msipige nyimbo za dini sehemu kama zile ambapo asilimia 98% ya matendo hayalipi utukufu Jina la Mungu hata kama Hamuamini lakini waheshimuni basi hata wale wanaoamini . Hili kwangu mimi limekuwa kero kwa kweli kwani zile nyimbo zikipigwa na nikisikia Jina la Mungu na matendo yanayofanywa asee hadi Vibe la kuendelea kuruka linakata kabisa na naweza hata nikaondoka.

Kama kuna Dj humu basi naomba mzingatie hili jamani.

Nawasilisha
Vibe kama hili na bia,..... pembeni totoz....maisha murua

Jidanganyeni tuu
Roho wa Mungu hakai sehemu ya vurugu na isiyo na utukufu.
Pale shetan na malaika zake ndo wahudhuriaji wa ile vibe ila sio Mungu wala Yesu wala malaika watakatifu.
Duh! Sasa mbona Yesu alikaa na Watoza ushuru na wasinzi?! Itakuaje sasa?
 
Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania.

Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini katika night clubs hizo na zinagusa imani za wengi mule na zikipigwa huwa narudi kukaa naendelea kunywa kinywaji Au kuchezea simu maana kwa kweli huwa inaniuma sana inapigwa nyimbo ya Dini AF kuna miamba inabambia na wengine wanakula Bia na wengine wanatakanana Dah somehow tunakuwa tunalipaka matope jina la muumba wetu.

Madj nakubali sana kazi zenu lakini hebu msipige nyimbo za dini sehemu kama zile ambapo asilimia 98% ya matendo hayalipi utukufu Jina la Mungu hata kama Hamuamini lakini waheshimuni basi hata wale wanaoamini . Hili kwangu mimi limekuwa kero kwa kweli kwani zile nyimbo zikipigwa na nikisikia Jina la Mungu na matendo yanayofanywa asee hadi Vibe la kuendelea kuruka linakata kabisa na naweza hata nikaondoka.

Kama kuna Dj humu basi naomba mzingatie hili jamani.

Nawasilisha
ndg hata walevi na makahaba wanamuhitaji Mungu ndio maana hizo nyimbo zinapigwa karibu na majogoo hapo Kila mtu kajichokea akisikia wimbo wa Sinach "I Know Who I am" au song la Dr ipyana "Umetenda hili umetenda lile" hapo mafilings yanakuja kwamba Mungu yupo aseee ukikumbuka Kuna Wana tayari hawapo dunia hii da.
 
Back
Top Bottom