Ma dj wanazingua kupiga nyimbo za dini kwenye disco na night clubs

Vibe kama hili na bia,..... pembeni totoz....maisha murua

 
Jidanganyeni tuu
Roho wa Mungu hakai sehemu ya vurugu na isiyo na utukufu.
Pale shetan na malaika zake ndo wahudhuriaji wa ile vibe ila sio Mungu wala Yesu wala malaika watakatifu.
Duh! Sasa mbona Yesu alikaa na Watoza ushuru na wasinzi?! Itakuaje sasa?
 
ndg hata walevi na makahaba wanamuhitaji Mungu ndio maana hizo nyimbo zinapigwa karibu na majogoo hapo Kila mtu kajichokea akisikia wimbo wa Sinach "I Know Who I am" au song la Dr ipyana "Umetenda hili umetenda lile" hapo mafilings yanakuja kwamba Mungu yupo aseee ukikumbuka Kuna Wana tayari hawapo dunia hii da.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…