Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Mi wanaume niliowakataa wanioe washagakua matajiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa we mwenyewe ni nani?
Maana siyo unawasema tu ma x
[emoji124]Mi wanaume niliowakataa wanioe washagakua matajiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakin nilifurahi na nikajua ipo siku ntampata naemtaka mimi
Una nyota ya ushoga! Watch out. Haiwezekani uwe na maX wauza nyago na wanenguaji! Upo salama hadi sasa?mziki napenda kuskiliza yaaan,,
hahahah mama sabMi wanaume niliowakataa wanioe washagakua matajiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakin nilifurahi na nikajua ipo siku ntampata naemtaka mimi
duhhuna nyota ya jalala yani kila uchafu utabeba
Wallah tena ila riziki ipo pale palehahahah mama sab
hahahUna nyota ua r.kelly
kweliWallah tena ila riziki ipo pale pale
ohhhhuna nyota ya martin kadinda.
hao si ni sampuli zakina gigy money,amber nani wale wanaoshinda mtandaoni wanaposti makalio na utupu!?ohhhh
Nyota yako Ya umalaya "" Mkuu""......Inaonekna " Wewe ni Malaya Mnooo....yaan niko tu nabangaiza[emoji16]
Missing You .......cute ""Wallah tena ila riziki ipo pale pale
hah haha..haujafwa " kwa stress tu ""......Mi wanaume niliowakataa wanioe washagakua matajiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakin nilifurahi na nikajua ipo siku ntampata naemtaka mimi
hapana mkuuNyota yako Ya umalaya "" Mkuu""......Inaonekna " Wewe ni Malaya Mnooo....
mmoja sampuli hiyo ameanza hayo mambo, kuna cku nlimuuliza kwa nn unajiachia ivo, jibu alonipa ni kituko,,, aliniwekea status ktk whatsup nikajiongeza, nlikuwa na mpango wa kustua bunduki lakini nikasita [emoji16] [emoji16]hao si ni sampuli zakina gigy money,amber nani wale wanaoshinda mtandaoni wanaposti makalio na utupu!?
hahaa ili uwe na hao lazima uwe sampuli yao yani bishoo, muuza sura, mpaka poda tunarudi kulekule kwa kadinda.mmoja sampuli hiyo ameanza hayo mambo, kuna cku nlimuuliza kwa nn unajiachia ivo, jibu alonipa ni kituko,,, aliniwekea status ktk whatsup nikajiongeza, nlikuwa na mpango wa kustua bunduki lakini nikasita [emoji16] [emoji16]
mmmhhahaa ili uwe na hao lazima uwe sampuli yao yani bishoo, muuza sura, mpaka poda tunarudi kulekule kwa kadinda.