Ma Ex-girlfriendz zangu ni video queen, Wapiga ramli na wasoma nyota mkuje mniambie nina kipaji gani?

Ma Ex-girlfriendz zangu ni video queen, Wapiga ramli na wasoma nyota mkuje mniambie nina kipaji gani?

kuna kipindi flani wakati niko collage kuna jamaa alinishawishi niwe ktk mambo ya modal ila mi binafsii sikuingia humo,, ule usiku wa shindano nikaopoa demu mmoja modal matata,,

ila yeye sasa amekuwa mwanamuziki
 
Back
Top Bottom