Ma-expert wa bible msaada kidogo kunifafanulia hili


“This was an infidel country, whose way of life we Muslims were supposed to oppose and reject. Why was it, then, so much better run, better led, and made for such better lives than the places we came from? Shouldn't the places where Allah was worshipped and His laws obeyed have been at peace and wealthy, and the unbelievers' countries ignorant, poor, and at war?”
― Ayaan Hirsi Ali, Infidel
 
“Wishful thinking about the peaceful tolerance of Islam cannot interpret away this reality: hands are still cut off, women still stoned and enslaved, just as the Prophet Muhammad decided centuries ago.”
― Ayaan Hirsi Ali, Infidel


Jibu lako umejiwekea mwenyewe. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 

Quran Kama ilivyo ikipewa tafsiri yake ni janga kweli kweli lakini hizi tafsiri za kimjini mjini ndizo nyingi mnapewa ninyi ili mumtumikie sheytwani vizuri
 



 

Jibu lako umejiwekea mwenye hapo.
 
Huijui Biblia naijua Biblia. Sio Kama Quran ambayo mauaji Kama Boko haram na ISIS wanapata uhalali WA namna ya kumtumikia sheytwani

Hao wote unaowataja ni vyombo vya mabwana zenu, unafikiri hatujuwi?
 
Quran Kama ilivyo ikipewa tafsiri yake ni janga kweli kweli lakini hizi tafsiri za kimjini mjini ndizo nyingi mnapewa ninyi ili mumtumikie sheytwani vizuri

Qur'an 2:2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
 

Satan accuses Allah of deceiving or misleading him! Here is what the text in question exactly says:
[Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me (aghwaytanee), I shall indeed adorn the path of error for them (mankind) on the earth, and I shall mislead (walaoghwiyannahum) them all. S. 15:39
 
Hao wa Kilimanjaro itakuwa wamefata mafundisho ya biblia. Au siyo?

Faiza, ni vigumu kuiambatanisha na Biblia per se. Mila hii imefifia karibuni tuu kutokana na familia nyingi kuongeza bidii ya kusomesha mabinti na pia wengi wao wamehamia mikoa mingine kutafuta maisha ambako ukibeba binti begani na kuondoka utafuatwa na kina afande Chacha.

Lakini sio Kilimanjaro peke yao. Ipo mikoa ambayo kulikuwa/ na bado ipo desturi ya KUTOROSHA binti. Japo hii ya pili iliendana na hiari ya anayetoroshwa, lakini agenda nzima mwishoni inamalizwa kwa Faini, kisha mahari halali na kupewa mke ki-rasmi.

Kuna hii ya tatu ambayo haina FAINI wala malalamiko si kwa wanaharakati wala wazazi wala biblia. Kijana-mvulana kwanza anashikishwa "mkwanja" na kupewa "pamba kali" kisha anaswekwa kwenye IST-toyota, au Rav4 automatic, kwenda kuwa "mume". Refer; "zali la mentali" (hahahah)
 
Quran Kama ilivyo ikipewa tafsiri yake ni janga kweli kweli lakini hizi tafsiri za kimjini mjini ndizo nyingi mnapewa ninyi ili mumtumikie sheytwani vizuri

Nkwesa, shetani yupo kwenye "avatar" yako.

cc FaizaFoxy,
 
Last edited by a moderator:
Hizi sheria zilikuwepo kabla ya kiristo,baaba ya Kiristo ziligongomelewa msalabani
 
Huijui Biblia naijua Biblia. Sio Kama Quran ambayo mauaji Kama Boko haram na ISIS wanapata uhalali WA namna ya kumtumikia sheytwani

Ushauri wangu ni kuwa bakia kwenye mada mama ya uzi huu. Lakini kama ndio unatangaza hadharani kuwa unaijua Biblia Fika na kuisifu huku ukiponda na kuvirushia madongo vitabu vya wengine itabidi tuu kwa shingo upande tukutake ushauri kuhusu aya hizi mbili kwa kuanzia, hebu ziweke sawa ili tuendelee.

Who incited David to count the fighting men of Israel?

  • God did (2 Samuel 24: 1)
  • Satan did (I Chronicles 2 1:1)

In that count how many fighting men were found in Israel?

  • Eight hundred thousand (2 Samuel 24:9)
  • One million, one hundred thousand (I Chronicles 21:5)

Weekend njema.

cc FaizaFoxy,
 
Last edited by a moderator:


Mkuu, hebu toa msaada hapa. Tuchukue ipi?;

God sent his prophet to threaten David with how many years of famine?

  • Seven (2 Samuel 24:13)
  • Three (I Chronicles 21:12)

cc FaizaFoxy,
 
Last edited by a moderator:

Tatizo lako Ishmael, ni kule kudhania kuwa unaweza kustawisha dosari katika dini za wenzako na kwa mtindo huo unadhani unapigia chapuo dini yako. Sio tuu kwamba ni uduni wa fikra lakini pia ni kutokomaa kwa akili. Usidhani wasiotusi dini za wenzao na huku wamekaa kimya na kujisomea uzi huu kiutaratibu wana IQ ndogo zaidi yako. On the contrary unavuruga context na maana ya uzi huu na infact hata mleta mada kakurai uachane na behaviour korofi.

Ili uelewe kuwa wewe sio kitu inapokuja masula ya kidini. Nakukaribisha uueleweshe umma juu ya aya hii;

8Again, the devil took Him to a very high mountain and showed Him all the kingdoms of the world and their glory; 9and he said to Him, "All these things I will give You, if You fall down and worship me."… (Mathew 4:8-9)

Sherehesha hapa tukuelewe, yaelekea ALIYEMSAFIRISHA MWENZAKE TOKA GROUND LEVEL HADI HIGHEST MOUNTAIN NI SHETANI aliyelaaniwa. Au nasoma tofauti?


 
Last edited by a moderator:
Bila kusahau huo mlima una urefu gani mpaka uione dunia nzima ukiwa kileleni.
na angempa vipi kama kweli yesu ni mungu wakati mungu ndo kaumba vyote?.ni sawa na mtu tajiri uko na gari lako hammer halafu anakuja mtu anakwambia hii hammer nitakupa iwe yako kama utafuata ninachokwambia.
very nosense.
 
Last edited by a moderator:
Does The Biblical God Lie & Deceive?
I Kings 22:22 God said:I will be a lyingspiritin the mouth of all his prophets.
II Chronicles 4:4 The God of this worldhas blinded the mindsof them who believe not.
II Chronicles 18:21 God said:I will be a lying spiritin the mouth of his prophets.
II Chronicles 18:22The Lord has put a lying spiritin the mouth of thy prophets.
Jeremiah 20:7 OhLord, You have deceived me, and I was deceived.
IIThessalonians2:11God shall send them strong delusionthat they believe a lie.
Ezekiel 20:25God said: I gave them bad statutes/ judgments so they would not live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…