Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu mnapenda kusoma vitu robo robo bila ya kuanzia mwanzo. Islam is a problem and leaders in this weird way of learning.Tatizo lako Ishmael, ni kule kudhania kuwa unaweza kustawisha dosari katika dini za wenzako na kwa mtindo huo unadhani unapigia chapuo dini yako. Sio tuu kwamba ni uduni wa fikra lakini pia ni kutokomaa kwa akili. Usidhani wasiotusi dini za wenzao na huku wamekaa kimya na kujisomea uzi huu kiutaratibu wana IQ ndogo zaidi yako. On the contrary unavuruga context na maana ya uzi huu na infact hata mleta mada kakurai uachane na behaviour korofi.
Ili uelewe kuwa wewe sio kitu inapokuja masula ya kidini. Nakukaribisha uueleweshe umma juu ya aya hii;
8Again, the devil took Him to a very high mountain and showed Him all the kingdoms of the world and their glory;9and he said to Him, "All these things I will give You, if You fall down and worship me." (Mathew 4:8-9)
Sherehesha hapa tukuelewe, yaelekea ALIYEMSAFIRISHA MWENZAKE TOKA GROUND LEVEL HADI HIGHEST MOUNTAIN NI SHETANI aliyelaaniwa. Au nasoma tofauti?
Musa alikuwa Mkristo au Muislamu?Numbers 21:33-35 God ordered Moses to do to King of Og as he had done to others. Moses struck down the King's sons and all his people until none were left and took possession of his land.
God Ordered Moses To Kill Kings And To Steal Their Lands
Out of contextDoes The Biblical God Lie & Deceive?
I Kings 22:22 God said:I will be a lyingspiritin the mouth of all his prophets.
II Chronicles 4:4 The God of this worldhas blinded the mindsof them who believe not.
II Chronicles 18:21 God said:I will be a lying spiritin the mouth of his prophets.
II Chronicles 18:22The Lord has put a lying spiritin the mouth of thy prophets.
Jeremiah 20:7 OhLord, You have deceived me, and I was deceived.
IIThessalonians2:11God shall send them strong delusionthat they believe a lie.
Ezekiel 20:25God said: I gave them bad statutes/ judgments so they would not live.
"8 Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor.9 "All this I will give you," he said, "if you will bow down and worship me."
He was already there.Nasoma tofauti?
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akili
Deuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)
28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered,29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives
Ni wazi kabisa fungu linasema kua mwanaume akikutwa kambaka binti ambaye ni bikra basi atamlipa baba yake huyo mwanamke vipande vya silver alafu atatakiwa kumuoa na hatotakiwa kumpa talaka maisha yake yote.. Sasa hili fungu linachonichanganya, kwa nini mwanamke wa atu abakwe afu tena biblia itake aoane na huyohuyo aliyembaka, si ni mateso hayo ambayo binti hakujitakia, yani anakua kama analipa kosa ambalo hakulifanya tena for life? This is cruel! em nisaideni niondoe mashaka yangu..
Afu kama huna la maana la kuongea usijibu, i dont wish to see watu wanaanza kusema dini yao ndo ya kweli blah blah blah.. ulizaliwa tu huko usiwe mpiga kelele sana
He was already there.
Jibu lako umejiwekea mwenyewe. Kwi kwi kwi teh teh teh.
I wish some here could read the book titled MISQUATING JESUS .....THE STORY BEHIND WHO CHANGED THE BIBLE AND WHY by prof BART D. EHRMAN....the guy is expart of the bible...na hiki kitabu si cha kishabiki....wala mtu asikisome akidhan kitamsupport dini yake, imani au dhehebu lake....ni kitabu cha elimu ya kina yenye tafakuru kubwa....please dont read it kama hauko tayari kufikiria kitofauti....!!
Faiza please make some efforts at least to know that Infidel is the title of the book where these quotes are taken from! Kwa kufanya hivi ulivyofanya ninahisi unataka kujifanya hazikutoshi! You dont have to defend your image herein the JF but i would like to think were are all here to defend our thoughts!
You need to start reading and not mindless repeating words just like your clergy Muhammad.Nilikwambia nimegundua wewe ni Kilaza. Sasa soma ulichopost;
Hivi unajua kusoma kweli? Hivi unaelewa implication ya ulichopost?
You need to start reading and not mindless repeating words just like your clergy Muhammad.
Sijaona hao ma-expert wa bible ambao mleta mada anawahitaji wamsaidie.
Lazima atakuwa kajibiwa mahali, ila hii mijadala ya dini/ madhehebu huwa inakuwa mpaka inatoka kabisa nje ya mada, watu huwa "wanapigana" humu! Huwa nakaa pembeni na kuangalia watu wanavyotoana ngeu. Kwangu mimi imekuwa burudani.
Mkuu Yesu alipowapa homework ya kufundisha wanafunzi wake aliwaambia wakawafundishe "kondoo" walio potea, hakuwaambia wakafundishe hata wasio kondoo "Israel tribes"
Yesu Mwenyewe hakuwahi kukanyaga nje ya maeneo ya Israel, Neno la Mungu limeanza kuhubiriwa nje ya Israel na Paul.
Ndugu zangu,namchukia sana mtu anayedharau BIBLIA,hivi kila kitu ni kudharau,hadi Neno la MUNGU?,Ee MUNGU uturehemu.