Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Kwanza nikusahihishe mkuu,makabila yanayounda taifa la Israeli la leo ni Yuda na Benjamin pekee japokuwa hata hivyo hakusha ushahidi wa kuthibitisha hili na badala yake kuna ushahidi wa kuonesha hawa wala sio Wayahudi
Pamoja na hilo nilichokuuliza mkuu ni kama wakati wa Yesu kulikuwa na taifa linaloitwa Israel,na sijaona kama umenijibu hili,nakuomba unijibu tafadhali mkuu ...
Sikuuliza sababu ya makabila mengine kutokuwepo bali nilikuuliza maana ya ile kauli ya "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel",hii nayo hujanijibu mkuu!!
Sielewi unaposema Taifa unamaanisha nini? nachosema mimi ni kwamba kabila zingine hazikuwapo hilo eneo wakati Yesu anakuja. Ukiniuliza kama hizo Kabila ndio Taifa jibu langu ni ndio.