Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Labda sikukwelewa kuhusu kuwarushia mbwa lulu Mkuu.Nguruwe wepi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda sikukwelewa kuhusu kuwarushia mbwa lulu Mkuu.Nguruwe wepi tena.
Unaona tatizo lako.
Kwa nini maneno yaha hakuyasema kabla hajafa?
Labda sikukwelewa kuhusu kuwarushia mbwa lulu Mkuu.
Kwa sababu alikuwa bado yuko kwenye mpango na kondoo waliopotea katika nyumba ya Israel Mkuu.
Baada ya kufufuka kazi yake kwa kondoo ilikuwa ...imekwisha ndipo aligeukia mataifa na kuwatangazia Neema ya kufanyika wana WA Mungu sawa na Israel yote.
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akili
[h=1]Deuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)[/h]28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered, 29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives
Ni wazi kabisa fungu linasema kua mwanaume akikutwa kambaka binti ambaye ni bikra basi atamlipa baba yake huyo mwanamke vipande vya silver alafu atatakiwa kumuoa na hatotakiwa kumpa talaka maisha yake yote.. Sasa hili fungu linachonichanganya, kwa nini mwanamke wa atu abakwe afu tena biblia itake aoane na huyohuyo aliyembaka, si ni mateso hayo ambayo binti hakujitakia, yani anakua kama analipa kosa ambalo hakulifanya tena for life? This is cruel! em nisaideni niondoe mashaka yangu..
Afu kama huna la maana la kuongea usijibu, i dont wish to see watu wanaanza kusema dini yao ndo ya kweli blah blah blah.. ulizaliwa tu huko usiwe mpiga kelele sana
Tatizo lako nimeliona muda mrefu tu katika michango yako
Yesu alipokuja hapa, hakuwa na assignment ya kutuletea sisi habari njema, sisi habari hizi zilianza kuwa za haki kwetu baada ya Paul kupewa assignment hiyo na Yesu
Japo mpaka sasa Mbwa aliowasema Yesu wapo, hata kati yako na mimi muda huu mmoja wetu ni mbwa.
Mimi naona wewe ni mbwa..
Umeona kama umeandika tofauti na msimamo wako wa kwanza.
Wapi imeandikwa kwenye Biblia mambo ya Nguruwe kurushiwa LULU?
Labda Kama akili yako imekataa kuelewa. Yesu mfufuka ndiye aliwatuma wanafunzi kwa mataifa kuwafanya wanafunzi.
Yesu mfufuma alikuwa na mamlaka kama ya mfufuka?
DAAAH watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
Ndugu inefikia pahala tunapotezea muda Tu.
Wewe akili yako imefungwa haiwezi pokea kitu kipya.
Kwenye maandishi yangu nikijibu baadhi ya hoja zako nimekuwekea nukuu kutoka injili Kama ilivyoandikwa katika
Mathayo 28:18-20
Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani...
Sasa hii habari ya mamlaka Kama ya mfufuka sijui inatokana na hoja gani...
Ni shida.
Kwani Wakati Ibilisi anamuambia Yesu atampa Ulimwengu mzima kama akimsujudia ni kwa nini Yesu hakumuambia Ibilisi kwamba Yeye ndio anamamlaka yote Mbinguni na duniani? au hakutaka ubishi?
Hapa najaza maji kwenye pakacha hakika ! Ungekuwa unaniambia kwamba hoja hii nimeielewa lakini nina swali.
Huku kurukaruka na hoja bila mpangilio ni up.uuzi Kabisaa.
Hakuna pahala ukasema umeelewa hata baada ya kupewa andiko umebaki kupandisha hoja juu ya hoja.
Muulize Yesu kwa nini hakumjibu shetani unavyotaka wewe, ni imani yangu kuwa atakujibu.
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akiliDeuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)
28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered,29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he livesNi wazi kabisa fungu linasema kua mwanaume akikutwa kambaka binti ambaye ni bikra basi atamlipa baba yake huyo mwanamke vipande vya silver alafu atatakiwa kumuoa na hatotakiwa kumpa talaka maisha yake yote.. Sasa hili fungu linachonichanganya, kwa nini mwanamke wa atu abakwe afu tena biblia itake aoane na huyohuyo aliyembaka, si ni mateso hayo ambayo binti hakujitakia, yani anakua kama analipa kosa ambalo hakulifanya tena for life? This is cruel! em nisaideni niondoe mashaka yangu..Afu kama huna la maana la kuongea usijibu, i dont wish to see watu wanaanza kusema dini yao ndo ya kweli blah blah blah.. ulizaliwa tu huko usiwe mpiga kelele sana
Jibu swali wewe,wewe ndio umeleta hoja ya Yesu kusema amepewa mamlaka Duniani na Mbinguni kama justification kwamba alipokuwa hapa duniani alifungulia milango ya Neno la Mungu kutangazwa huku kwetu,
Yesu aliyetoa maelekezo hayo umemtambulisha kama Yesu Mfufuka, nikachukulia unamaanisha kwamba alitoa maelekez hayo baada ya kufufuka, kwa maana ya kwamba kabla ya kufa na kufufuka haikuwa kwenye ratiba yake kufungulia milango.
Nilipogundua haumaanishi hivyo ndio nimekuletea hiyo issue ya Shetani kumuahidi Yesu kumpa ulimwengu mzima,lengu langu ni ili ufunguke, cha ajabu unakurupuka kurupuka tu hapa.
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akili
Deuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)
28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered,29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives
Ni wazi kabisa fungu linasema kua mwanaume akikutwa kambaka binti ambaye ni bikra basi atamlipa baba yake huyo mwanamke vipande vya silver alafu atatakiwa kumuoa na hatotakiwa kumpa talaka maisha yake yote.. Sasa hili fungu linachonichanganya, kwa nini mwanamke wa atu abakwe afu tena biblia itake aoane na huyohuyo aliyembaka, si ni mateso hayo ambayo binti hakujitakia, yani anakua kama analipa kosa ambalo hakulifanya tena for life? This is cruel! em nisaideni niondoe mashaka yangu..