Ma IT tuunganishe nguvu tuweze kunufaika na kazi na ubunifu wetu

Ma IT tuunganishe nguvu tuweze kunufaika na kazi na ubunifu wetu

Je umekuwa ukifanya coding kama kujifurahisha tu....! Unaona coding hailipi. Je una app zako nyingi umedevelop lakini huna pa kuziuzia. Usikate tamaa. Pasah Group ni mkombozi wako. Pasah Group tunawakaribisha wale wote wenye idea za coding, Ma programmer wa lugha zote, web designer and developer na graphics designer wa aina zote. kauli mbiu yetu " NJOO TUUNGANE, TUFURAHI MATUNDA YA KAZI NA UBUNIFU WETU" Kwa maelezo zaidi Tuchek kupitia 0754928622 au tembelea Tovuti yetu. " www.pasah.net"
Nachoweza kuwashauri kama uko vizuri kwenye python kasomeni kijerumani na mfanye mtihani Goethe.Mkimaliza apply kazi za huku Ujerumani kazi zipo nyingi sana huku za IT. Halafu zipo remote pia unaweza kufanya ukiwa nyumbani aisee.
 
Back
Top Bottom