Ma IT wa Bongo tutengenezeeni hii APP (kupanga/ kupangisha/ kununua etc)

Ma IT wa Bongo tutengenezeeni hii APP (kupanga/ kupangisha/ kununua etc)

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Habari za muda huu...

Leo nimewaza jinsi madalali wanavoharibu soko la vitu TZ ila ni sisi wenyewe ndio tunawaendekeza sana, nikiangalia vyuo vyetu UDSM, DIT, MUST etc etc wanazalisha ma IT kibao kila mwaka ila wote wanaishia kutengeneza website ambazo ndani ya mwaka zinakufa.

Leo naomba niwaulize kwanini hawa IT wasitengenezee LEGITIMATE real estate website ambazo wenye Nyumba/mali ndio wanapost wao wanakua wanalipisha tangazo hilo ila lazima wafanye verification na mwenye mali na kuweka details zote

Unajua nchi yetu Ujanja Ujanja mwingi sana, kila mahali dili (hawa madalali ndio wanafanya bei ziwe juu) ila akitokea IT mmoja aisee hamtaamini macho yenu.

nimeweka mfano wa web mojawapo kwa nchi za wenzetu.

KIJIJI.jpg

KIJIJI 2.jpg

KIJIJI 3.jpg


KIJIJI 4.jpg


Kama mtu akatengeneza Website ya Hivi kuna mtu atahitaji Dalali kweli? mwenye mali anaweka tangazo lake anatafutwa moja kwa moja na mteja.

mlioko vyuoni hii inaweza kuwa Project yako

tembelea
Kijiji.ca

kwa kuangalia website inavofanya kazi, zipo nyingi ila hii ndio kama Jamii forum kwa bongo kwenye kutafuta kupanga na kupangisha
 
Nice idea, kuna watu washajaribu kulist real estates.

Shida ni Elimu yetu imetudumaza na watu ni wavivu kusoma vitu muhimu, website visits na application usage kwa tz tumekuwa nyuma sana.
 
kwa Bongo sahau, maana atataka apate faida kwa haraka
so atai host free kwa GoDaddy , baada ya mwaka site haipatikani, Bongo bado sana, sites nyingi kuvuka miaka 2 ni utata
 
Bongo hapana labda uunde web ya ujinga utatumia nguvu kuresearch features na kudesing alafu usange ndogo
Mange anapata views kuliko kwa sababu tu anapost ujinga.

Pia wabongo kwa kukariri hapana aiseee.

Ningeichukua kama project
 
Back
Top Bottom