Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Hii issue ilitokea katika degree Kwa Dr mmoja huyu alikuwa akichezea jukwaa la intelligence

Sasa imejurudia tena Kwa lecturer mwingine

Wanafunzi wanampa attention kubwa kumbe anakopi mambo
Jina la lecturer
Course gani
Masters ya nini?
Chuo ni Jalalani = UDSM according to Kabudi
 
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.


Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.

Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!!
Sio mbaya ikiwa anachofundisha ni valid kwa hao wanafunzi wake. Shida ni kuiweka yeye kwenye nafasi ya mwandishi. Alitakiwa kutaja jina la mtu ambako amechukua maarifa hayo.
 
Back
Top Bottom