Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Haina shida kijana , kuna mamia ya watu hapo hawapo JF wamefaidika na hicho kitu.Upo sahihi ila zingine ni tafakari za mtu binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida kijana , kuna mamia ya watu hapo hawapo JF wamefaidika na hicho kitu.Upo sahihi ila zingine ni tafakari za mtu binafsi
Hahaha dah 🤣Ikiwa anafanya bila kujipatia faida, anatoa bure, kwangu sioni shida.
Hiyo ndio maana ya kuwa na Tija kwenye Taifa.
Maandishi yangu yanasomwa na watu wasiopungua Milioni Moja kwa Siku.
Na yanasomwa na nchi mbalimbali.
Lengo ni watu wengi wajifunze.
Mungu aendelee kuwa Ngao yetu.
Ndio nimesema ni tafakari nikimaanisha sio kila anachoandika mtu humu ametoa kwenye kitabuHaina shida kijana , kuna mamia ya watu hapo hawapo JF wamefaidika na hicho kitu.
Aisee, kumbe wewe ni influncer kabisa
Hahaha dah 🤣
Namkumbuka Deo Kisandu
Acha wivu mkuu. Jamaa ana ID zaidi ya 10 JF. Huwa anajipa promo kwa ID moja na kuna ID ya kidada kilichomfuga Binti Kimoso nayo inakuja kumpamba.A man of multiple Id's, Robert Manfried.
hebu monetize hizo mazaga chap binti kimoso apate ndingaWastani kwa siku Maandishi yangu yanasomwa na watu Milioni Moja.
So vitu kama hivyo kutokea kwangu sio tatizo.
hebu monetize hizo mazaga chap binti kimoso apate ndinga
Kwa mada zako. Njia nyepesi ni submit materials zako kwenye radio ndogo kama mjini fm uwe unaalikwa kama guest speaker au hata guest host mwenye kipengele maalum..Nafikiri kufanya hivyo.
Hasa kwa upande wa video maana ndio zenye Mpunga.
Nami kwenye video sio mzuri Sana.
Naona Robert na Robert wamekutanaWakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.
Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.
Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!!
Tafuta editors, graduates wa kozi za filmmakingNafikiri kufanya hivyo.
Hasa kwa upande wa video maana ndio zenye Mpunga.
Nami kwenye video sio mzuri Sana.
Chit Chat, New Name Same Person...Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.
Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.
Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!!