Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Ikiwa anafanya bila kujipatia faida, anatoa bure, kwangu sioni shida.

Hiyo ndio maana ya kuwa na Tija kwenye Taifa.
Maandishi yangu yanasomwa na watu wasiopungua Milioni Moja kwa Siku.
Na yanasomwa na nchi mbalimbali.

Lengo ni watu wengi wajifunze.

Mungu aendelee kuwa Ngao yetu.
Hahaha dah 🤣

Namkumbuka Deo Kisandu
 
In the world of anonymity unajuaje at best kwamba huyo lecture sio huyu ambae unasema amecopy hapa ?

Mbili lecture mzuri anakwenda na vitu current anaweza kutolea mfano sio wa mazuri bali mfano wa what should not be.....; Mpishi mzuri ni yule anayetoa huku na kule (different versions) tena kwa dunia ya leo wasiishie tu kwenye JF waende mpaka Tik Tok (Sababu lazima kuwe na uhalisia na Jamii na Jamii yenyewe ipo mpaka Online)
 
Ni lecturer wa sociology au?...

Labda kama kuna threads zingine za Robert huwa sizisomi ila ni course gani hiyo mnayosoma ambayo threads zake zinaweza kutumika kutoa nondo...
 
Nafikiri kufanya hivyo.

Hasa kwa upande wa video maana ndio zenye Mpunga.

Nami kwenye video sio mzuri Sana.
Kwa mada zako. Njia nyepesi ni submit materials zako kwenye radio ndogo kama mjini fm uwe unaalikwa kama guest speaker au hata guest host mwenye kipengele maalum..

Then utakuwa unatega camera au unaweza muomba producer wa kipindi akupe clips zako baada ya kipindi na utapost whattsap na kwenye mitandao ya kijamii mingine.

Kwa mada controversial unazoandika humu, utaenda mjini kirahisi maana content zako ni sharable haswa kwa group kubwa la wanaume ila inabidi uwe na ngozi ya chuma maana kwenye controversies lolote linaweza kutumika dhidi yako hususani kama mkeka wako sio msafi
 
Nafikiri kufanya hivyo.

Hasa kwa upande wa video maana ndio zenye Mpunga.

Nami kwenye video sio mzuri Sana.
Tafuta editors, graduates wa kozi za filmmaking

Huwa inasikitisha sana kuona mtu ana potential kama wewe halafu anaichezea

Angalia watu wenye mapodcast huko youtube watafute
 
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.


Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.

Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!!
Chit Chat, New Name Same Person...



..Ni Hayo Tu!!!
 
Back
Top Bottom