Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

1735806922113388373627924752450.jpg


Hichi kitabu ni cha Lecturer wangu wakati huo nasoma, ameweka citation kutoka JF.
Na hakua mtanzania, JF ni kisima cha maarifa.
 
Ni kawaida, wasioweza kuongea vizuri sana hususani introverts huwa best writers.
😁😁😁 sasa wewe tutakusaidiaje, kaanze kupost twitter, instagram au facebook kama zile za Joel nnanauka

Au unilipe pesa nikufundishe 😁

😃😃😃

Itabidi nilipe watu nipate pesa
 
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.

Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.

Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!

Herriel huwa anasomaga vitabu ambavyo mfundishaji naye anasoma huko, wewe ni mjinga tu kuawza Herriel kagundua hivyo vitu!
 
Sio tatizo Kuna kitu kwenye kufundisha kinaitwa reference unaweza kutoa taarifa kutoka sehemu yoyote muhimu iwe wazi na iendane na mada
 
Back
Top Bottom