Ma-MC mnatusababishia shida sana kwenye familia zetu, Tabia hii ni mbaya mno

Hao ma-MC hawajui kitu kinaitwa privacy? kuweka picha ya mtu au tukio la kifamilia mtandaoni bila idhini ya wahusika hiyo ni breach of privacy, na huyu jamaa yupo sahihi kusema anaweza kumshtaki.....
Kwa sasa hawezi kushtaki, nadhani mwezi wa pili sheria itapita then tutaanza kushtaki watu kama hao. Hadi washike adabu
 
Sasa si umfate kwenye page yake umwambie Sisi huku tufanyeje
 
Habari za Asubuhi wana-Jukwaa.

Kabla ya yote nawapongeza ma-Mc kwa juhudi zao wakipambania chakula kiende kinywani....
Ma MC's wa Siku hizi hawana tofauti na Manesi wa Wodi za Uzazi au wale Wanaopima VVU kwa kuwa Wambea hadi Kero.

Niliwahi kuhudhuria Harusi Moja ni nilipokuwa huko nikamtongoza Muhudhuriaji Mmoja ( Demu ) na kutumia Umafia wangu na kwenda Kumpekecha ( Kumtia ) katika Vyoo vya Kiume vya Ukumbi huo.

Nilipokuwa namuingiza baada ya kudhani hakuna Mtu wa kuja muda huo mara ghafla akaja MC wa Shughuli husika ambaye tunafahamiana na kumuomba auchune ili nimpekeche Mtu ambapo alikubali na kumuamini kuwa hatonichafua kwa Wana Kitaa.

Cha Kushangaza Siku Tatu au Nne baada ya Harusi ile nikaanza kusikia Wana katika Vijiwe vyangu Vikubwa Wanafumba na wanachokifumba kinalenga mule mule nikajua tayari yule MC kafanya yake.

Kwa Hasira juu ya alichonifanyia sikutaka kupoteza muda wangu Kumuuliza bali nilimfanyia Umafia Bintiye wa mwaka wa Kwanza sasa Chuo fulani Posta na Kumpekecha kisha nikatengeneza ajue na kweli alijua kwani niliona akinichukia ghafla na kuacha kunisalimia mpaka alipohama Kitaa.

Ma MC's mjitafakari na badilikeni Ok?
 
Umeongea vizuri sana mkuu, toka ulimwengu huu wa kuposti kila MC niliacha kabisa kucheza kwenye harusi, ninacho kifanya huwa natikisa kichwa tu kwenye na kiti na jamaa zangu huniulizwa mbona siku hizi umepooza hivo nawambia umriiii hawana mbavuu
 
Bado hujajitambua.

Chochote unachofanya fanya kwa tahadhari ukijua kuwa kesho wewe utakuwa mtu mwingine kabisa na leo isikuharibie kesho yako.

Mimi hata nikienda club huwa sichezi naishia kuwaangalia wakicheza sababu unaweza kunaswa na kamera kesho yako ikaharibika
 
Ukiwa public jiheshimu, ukifanya kituko kutrend ni dakika moja tu

Cha msingi ndio hicho tu, mbn kimya wengine tunaenda kwenye masherehe lkn hatukutani na kadhia hiyo? Na tunacheza na kufurahi, Muhimu kijiheshimu na kucheza kistaarabu tu.!! Maana mitandao siku hizi Kila mahali.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Unapoteza muda wako mkuu, ungepaswa ujiheshimu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…