Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Deadbody umemuona TO wako huyo hapo. Ndo kaishia hapo bora sie wa chimbo
 
dengue f,
Hii story inafurahisha sana, mmoja nimepata kusikia historia yake, Ila wawili nimepata kuona maajabu yao kwa macho na kukaa nao darasa moja japo kwa nyakati tofauti. Huyo jamaa kwa jina la Sylvester tulipata kumwita Computer pale O-level alitubeba sana kwenye hilo somo, alikuwa ni mtu mwenye moyo mkubwa sana wa kufundisha na hakuchoka kukufundisha pale ambapo ungeomba msaada wake iwe kwenye Physics, Maths, Chemistry na upuuzi mwingine. Rough yake akiandika kwako ilikuwa inakuwa notes tosha.

Huu ushabiki mwingine sisi ndo tunao, Ila wao kama wao walikuwa wanatambuana tena kwa uwezo wao na kuappreciate uwezo wa mwenzao. Siku moja nikiwa napigwa pindi na Sylvester pale kwao Mbagala alipigiwa simu na Gwamaka baada ya kukwama kwenye swali fulani, wakachangiana mawazo na hatimaye wakapata jibu. Ndipo nilipotambua kuwa wana utamaduni wa kutafutana na kuunga nguvu kutatua matatizo wanayokutana nayo. That's what greats do.
 
Huu n upuuzi hawa wanunuz wa smart phones wa miaka hii wanasumbua....hii Ni copy and paste.
Huu uzi ushatolewa humu kitambooo......
 
TO wa muda wote ni Martin Chegere... wengine wote hao chenga tu...

Huyo ni 2004 na 2007, nadhani ni kipindi na wewe ulikuwa shule. Btw, kwa vile umeongea pasipo 'evidence' niishie tu kusema "wapo waliokuwa kabla yake".
 
Back
Top Bottom