Vifaa hivyo tayari unavyo?
Utatakiwa kufika ofisini kwa mganga mkuu wa wilaya ambaye atakagua sehemu yako ya huduma, waajiriwa na vifaa.
Kama vifaa yatari unavyo, what type of ultrasound machine do you have?
asante sana kwa kutembelea huu uzi ZeMarcopolo bado sina hata kifaa kimoja ili nipo katika mchakati wa kununua vifaa vyote pale lab equipment ipo keko mwanga dar es salaam! ultrasound nayofikiria kununua ni portable, kinacho nikwaza mpaka sasaivi sijajua wapi nitapata wataalamu wa hizo machines. mchango na mwongozo wako ni muhimu mkuu
Sawa,
Kitu cha kwanza tafadhali fika kwa DMO. Yeye atakuwa mshauri mzuri kwako.