Heshima kwenu Mimi ni mjasiriamali Mkoani Mbeya nahitaji kufungua diagnostic center Kwaajili ya vipimo vya ultrasound EEG ECG X-ray na laboratory ya damu, sifikirii kua na matibabu labda kwa mbeleni, kwa sasaivi target yangu ni vipimo tu! Nahitaji kujua changamoto zake. Leseni Yake nitaipatia wapi? Wataalamu nitawapatia wapi? Mimi sio daktari, asanteni wanajamvii. CC ZeMarcopolo
Last edited by a moderator: