pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Maabara mawili (mobile) ya kupima virusi vya COVID-19 yamewasili nchini Kenya leo hii kutoka Ujerumani. Maabara hayo yalikuwa yanangonjewa sana ili kurahisisha shughuli za kupima 'wageni' pale OSBP Namanga bila kupoteza muda mwingi. Huku ya pili ikiwa imepangiwa kupelekwa Naivasha.
Haya yote ni baada ya boda ya Namanga kuorodheshwa kama 'hotspot' ya COVID-19. GOK-MOH wameendelea kusisitiza kwamba shughuli ya kupima wageni kwenye mipaka ya Kenya haitasitishwa hivi karibuni, hadi pale ambapo hatari ya maambukizi itapungua hadi kiasi cha kudhibitiwa.
Mnakaribishwa sana nchini Kenya[emoji1139] wadau(madereva). Ila mjitayarishe kwanza kisaikolojia maanake kupimwa kwanza ni lazima.